Afsa Habari wa TFF

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,397
Anaonekana ni mvivu wa kuongea
Anaongea kama hataki au kalazimishwa
Anapoongea ni kama anatangaza vita au matangazo ya vifo

No smile/facial expression
Hana mvuto kwa mtazamaji/msikilizaji kupenda kumsikiliza, kifup anaboa kumskiza


Kifupi sio muwasilianaji mzuri km walivo wenzie wengi
 
tumeongea na mwalimu...kila kitu kipo sawa ....viingilio vitakuwa....kama ile ndo staili yake mbombo ngafu naloli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom