Afrika Tutastaaribika lini Jamani?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
nafuatilia uchaguzi wa nigeria kuna maeneo kuna vurugu watu wanauawa, makanisa, misikiti na nyumba za watu zinachomwa, kisa aliyeshindwa hataki kukubali matokeo. kuna mambo mawili. uchaguzi unaweza usiwe huru na haki mtu akapinga matokeo ila pia kuna watu wanapinga tu kwa vile hawakubali kushindwa. naitamani africa itakayokuwa na chaguzi huru na haki na pia watu wastaarabu kama UK nk watakaokubali matokeo. siku hiyo itakuja ni sisi kupambana tu kuhimiza ustaarabu
 
Mkuu nani kashinda?
 
jonathan kashinda. amepata kura nyingi sana maeneo ya waislam kaskazini bohari anapinga kuwa haiwezekani mkristo kupata kura nyingi kaskazini bila kuiba. hayo ndio mawazo ya kiafrika
 
hawataki kuongozwa na kafiri? hawaw ndugu zetu sio kabisa
 
Asiyekubali kushindwa si mpinzani; bali hii inategemea na quality ya tume ya uchaguzi.Tume za uchaguzi afrika bado ni tatizo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom