Afrika na ukoloni mamboleo

Ndulungu

Member
Oct 22, 2011
87
49
Kama tunavyoona nchi za magharibi zinavyotaka kurejesha makoloni yake ya zamani kwa njia ya kutuchonganisha na viongozi wetu nakufanya tuwachukie na kisha kuziondoa madarakani serikali zetu na wao kutumia mwanya huo kutupandikizia viongozi ambao ni vibaraka wao wanaziunga mkono sera zao ambazo hazina manufaa kwa mataifa ya afrika dhidi ya kuwa na misingi ubepari na uporaji wa rasilimali za nchi zetu.je waafrika tunachukua hatua gani kupingana na ukoloni na uporaji huu unaofanywa na mataifa ya magharibi?
 
Hakuna UN wal AU vyote hivyo ni vyombo vya Mabepari kuwawezesha kuchota mali kutoka Africa.
 
Back
Top Bottom