Afrika Kusini: Mahakama ya Gauteng yaamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Hermanus Steyn akata rufaa

Alielishwa matango pori nani kati ya hao mataga na wewe usieleweka unasimamia nini?
Hata kushirikisha akili kidogo umeshindwa?
Deni limelipwa then àlielipwa aenda kuweka zuio for what?
Hamna ufahamu ninyi mnabadilishiwa gia angani kwa upuuzi mliojazwa..
Kumbe bora hao ccm na mataga yao wanajielewa na sio wapuuzi nyie.
Matusi ya nini mkuu? Subiri KIGOGO awapelekeshe mputa mputa.
 
Ukisoma hukumu yenyewe utaona kuwa imezingatia sheria tu na hoja za kisheria (facts of the law). Nadhani kwa kutumia hukumu hii hii Serikali ifungue kesi ya madai (civil case) dhidi ya Steyn kwa hasara yote iliyosababisha serikail (kama sheria inaruhusu) na kumdai fedha za adhabu na usumbufu mkubwa kwa serikali. Kesi hiyo ifunguliwe mara moja nchini.

Hukumu iko hapa chini:
Mwanangu anakaa chini ndege inanihusu nini mie? hata ikiungua na kua watu hainihusu hiyo
 
Sasa Mbona Serikali yako wote kuanzia BASHITE,MAYAGI MULAGA,SIRRO na ANKO wote wanamtafuta KIGOGO?
Ndivyo ulivodanganywa tena?
Hilo tangazo la kumtafuta liko wapi?
Hivi kwenye akili tumamu anaweza sumbuka na yule mpuuzi kweli?
Hasara kubwa kwa wanaodhani wana MTU wakawekeza kwako kumbe kichwa kimejaa nywele tu.
 
Sawa nasubiria mkuu ruling maana naona mlitaka kuorosha ndege,mkulima kaipiga pinchi tena ngoja tusubiri.
Ruling hii hapa (link hapo chini). Leta hoja nyingine
===
 
Mkuu hapa ungemuuliza,
Mbona ilipo surface ile habari kuwa mawakili wameomba ndege iachiwe kwa sababu ni ndege ya Rais,walioshambuliwa na kukebehiwa ni hao hao mawakili wa serikali?

Kwa mpaka leo unasumbuka na wabadili gia angani?
Waelewe tu hawa na uwachukulie walivyo
 
Apewe na bill ya mauzo yetu kwa kila safari ya ndege aliokwamish na gharama za kesi. Wanasheria wake walimdanganya sana mzee.
 
Sawa nasubiria mkuu ruling maana naona mlitaka kuorosha ndege,mkulima kaipiga pinchi tena ngoja tusubiri.
Ruling hii hapa (link hapo chini). Leta hoja nyingine
===
 
Ndivyo ulivodanganywa tena?
Hilo tangazo la kumtafuta liko wapi?
Hivi kwenye akili tumamu anaweza sumbuka na yule mpuuzi kweli?
Hasara kubwa kwa wanaodhani wana MTU wakawekeza kwako kumbe kichwa kimejaa nywele tu.
Haujui nani aliye NYUMA ya MAYAGI MULAGA? MULAGA kila siku anabashiri mara anayetumia Account ya Kigogo Marehemu Glory,Mara Mme wake Nchimbi,mara fulani,mlimkata zitto mkachukua simu,laptop lakin kigogo bado anapost tu,mkamteka Raphael lakini kigogo bado anapost tu, mkamteka msaidizi wa membe lakini CHUMA kigogo bado kipo 24/7 Twitter,sasa mmebaki kwenda kimya kimya tu mmedondokea PUA.
 
5H-TCH.PNG
 
Sio hadhi yako kutumia lugha isiyo na staha hata kidogo, daima umekuwa mjenga hoja madhubuti hapa jamvini, umekumbwa na kadhia gani leo?

Huwa najenga hoja kistaarabu hata kama tunatofautiana nabaki nakuheshimu, lakini mtu akitoka nje ya mstari natumia lugha hiyo hiyo ambayo ataielewa vizuri. Mtu anayeona amechoka kupambana kwa hoja huwa nampa dozi chungu bila kujali yoyote. Nifuatilie vizuri, tutapingana kwa hoja na nitabaki kwenye kile ninachokiamini bila kukuvunjia heshima, lakini ukiteleza tu utaipata fresh.
 
Taarifa kwamba serikali imeshinda kesi kwenye mahakama ya Afrika kusini dhidi ya zuio la ndege ya ATCL ni za faraja na za kupongezwa ns Watanzania wote. Hongera JPM, Hongera serikali yako na waandamizi wote walioshiriki katika kutuletea ushindi huu. Sisi kama Taifa, linapokuja jambo la kuhatarisha maslahi ya Taifa yetu ni vyema kuungana sote pasipo kujali tofauti za kiitikadi, jinsi, hadhi, vyama, kabila au dini. Katika mitandao yalisemwa mengi na wapo waliotamani tushindwe hiyo kesi au ndege yetu iuzwe. Huo ni mtazamo hasi. Athari zozote za kiuchumi, kisiasa au kijamii zina madhara kwa watanzania wote maana serikali huitaji rasilimali ili kutupatia huduma za afya, Elimu, Ulinzi na miundo mbinu. Serikali ikipata hasara, madhara yake ni kwa watanzania wote. Tuungane, tupebdane kwa maslahi ya Taifa na Ustawi wetu sote. Hongera JPM, Hongera Serikali, Hongera Team Ushindi iliyotumwa Afrika Kusini. Tanzania kwanza
 
Back
Top Bottom