Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,745
Wewe ni kichwa maji jifunze kwanza kuandika sawa dadaKama umenunia ndege kuwachilia omba ukimbizi somalia
Wewe ni kichwa maji jifunze kwanza kuandika sawa dadaKama umenunia ndege kuwachilia omba ukimbizi somalia
Kwa kifupi ni kwamba Ndege ya Airbus ilinunuliwa kwa matumizi ya Rais wa Tanzania na sio raia wala Air Tanzania, abiria kuitumia ile ndege ni danganya toto tu na ndio maana ilisemwa zitakuja 2 lakini ipo 1 mpaka leo hii,kumbukeni ilimpeleka Rais Chato na ikakaa siku ngapi kule.Asalaam!!
Mwishoni mwa mwezi jana zilijaa nderemo hoi hoi vifijo na ulimwende kutoka kwa watanzania "wachache" wakiongozwa na ma 'ring leaders' ambao wakizungumza chochote kijiji chote cha mambumbumbu hufuata, kupost na kurepost....
Ziliibuka shangwe za kila upande kusherehekea kukamatwa kwa ndege yetu ya Airbus Q400 ambapo watu "wachache" walikutana kufungua vizibo kwenye ma bar
Masikitiko yangu wala hayakua kukamatwa kwa ndege yetu..laahasha
Nilisikitika mno kuona kuna mazwazwa ambayo pengine kutokana na utashi wao kua mdogo walidhani ndege iliyokamatwa ni mali ya ukoo wa mzee pombe
Mazwazwa haya hudhani pia inapochafuka Tanzania mbele ya uso wa kimataifa anayechafuka ni "joni" pekee na si watanzania wote
Mazwazwa haya pia hayatambui kwamba vibaraka wachache wanao support na kupigia debe matatizo mbali mbali ya nchi yetu hua wana faida za kiuchumi kutoka kwa mabwana wao ambao ndio wanakua ma class representative wao hapa nchini
Mazwazwa haya pia hayatambui kwamba ma deal haya hutekelezwa na watu wenye ushawishi mkubwa kwa jamii ambao wakitamka neno moja huweza kushawishi mji mzima na njano ikaitwa nyekundu kwa wakati huo huo
Mwisho nitoe wito kwa wale walioshangilia kukamatwa kwa chombo chetu kule sauz wajazane kwa wingi kushangilia ndege yetu itapotua baada ya mahakama ya sauz kufutilia mbali kesi ya beberu stein tena bila gharama zozote
Pia niwaombe muwe wakweli hata kidogo kuuelezea uma kinyume chake kwamba kibabu cha kizungu hakijazulumiwa bali mahakama ya Afrika kusini imetenda haki
Muwe wa kwanza kuifua nchi yenu kwa manufaa yenu na vitukuu vyenu
MAREKANI.....American first
TANZANIA.......Tanzanian first
Ova....
Kwahiyo mahakama huko gauteng nayo imepokea maagizo kutoka magogoni?Au hukusikia preemptive statements za jopo la timu iliyoenda sauzi?!
Sawa demu
Kwani kigogo amesemaje kuhusu kulipa deni?Hivi hawa malofa wanafahamu kwamba mahakama haijapinga uhalali wa deni bali ndege inaachiliwa kutokana na technicalities za kisheria! Na kwamba, deni lipo pale pale!
Hahahhh soUkisoma hukumu yenyewe utaona kuwa imezingatia sheria tu na hoja za kisheria (facts of the law). Nadhani kwa kutumia hukumu hii hii Serikali ifungue kesi ya madai (civil case) dhidi ya Steyn kwa hasara yote iliyosababisha serikail (kama sheria inaruhusu) na kumdai fedha za adhabu na usumbufu mkubwa kwa serikali. Kesi hiyo ifunguliwe mara moja nchini.
Hukumu iko hapa chini:
Vp litaenda tena? Au
Sasa Mbona Serikali yako wote kuanzia BASHITE,MAYAGI MULAGA,SIRRO na ANKO wote wanamtafuta KIGOGO?Ndio think tank wenu na akili zote mmehamishia huko?
Kweli kumtawala nyumbu ni kazi rahisi sana.
Mahakama za wenzetu ziko very fair, sio hizo za Igodima, haki ni kwa wenyenacho tu