African Dictators meet in Addis Ababa

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Badala ya hawa dictators kukutana kujadili wimbi la vijana wao kutoka Africas kwenda Ulaya na kufia majini- Lampedusa etc.... Wanakutana at the expense of tax payers money kujadili how to consolidate their power by suppressing people not to air their views, killing democracy, oppression and the like! Wanataka wanapokuwa wanagombea madaraka waue, bila kuhpjiwa kama walivyofanya Kenyata na Rutto! Shame up on you!
 
AU is nothing but a club of dictators....well said and well proven!
 
More surprisingly they will also discuss the ICC existence, with the possibility of African Countries pulling out of the ICC
 
ha ha ha nimecheka asubuhi hii madiktetea duh I cant believe Madikteta agenda yao kubwa ni kukaa madarakani mpaka maisha w,pia wanataka kukufua vyama vya ukombozi ambavyo wananchi walivipiga boot baada ya kuona vimegeuka kuwa vyama vya mauaji
 
Hii Caucas ya madikteta inabidi ikirudi kutoka huko ikumbane na maandamano yasiyo na kikomo

ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?
 
Mkuu nakuunga mkono sana! Ingawa uwepo wa hii mahakama ya ICC itasaidia kuwazuia viongozi kutumia madaraka yao vibaya wawapo madarakani lakini tumeshuhudia mahakama hii ikiwashughulikia viongozi pekee wa nchi za Afrika! Mbona Bush hajashtakiwa? Blair na Sarkozy? Kwa vitendo vyao vya kuvamia Iraq kwa kisingizio cha matumizi ya kemikali lakin baadae wakamuua Sadam ikafahamika baaadae kuwa hapakuwepo na chemical weapons! Wameua raia wengi sana wasio na hatia! Kwanini hawa hawafikishwi kule ICC? Kwanini Kenyatta, Rutto, Albashir, Laurent Bagbo na yule wa Liberia?

Mimi siwatetei hao viongozi wasishitakiwe kwa makosa waliotenda but kwann Afrika tu? Mimi ningetegemea viongozi wa AU, wangeshinikiza usawa na haki itendeke kwa nchi zote vinginevyo ni sawa wakijitoa!
 
Mnatumiwa na mabeberu kuja hapa JF,mnafurahia Viongozi wenu kudhalilishwa na mfumo wa kikoloni? Blair na Bush wali ua maelufu ya watu hawakwenda hata ICC! Marekani haija saini hata mkataba wa Rome! Enyi waafrika wajinga mna ona kama jambo la kawaida viongozi wenu kudhalilishwa??? Mmelogwa na nani enyi kizazi masikini wa fikra na kutambua utu na thamani yenu????
CC CHUAKACHARA
 
Wacha washughulikiwe kwanza. Ngoja Ruto amalizike, kisha Kenyatta na wengineo..mpaka watie akili. Manake sie wametushinda, ngoja wababe wa dunia watusaidie.
 
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?

This kind of comments usually don't come from the people,I guess your one of those dictators meeting there...otherwise you're retard!
 
Badala ya hawa dictators kukutana kujadili wimbi la vijana wao kutoka Africas kwenda Ulaya na kufia majini- Lampedusa etc.... Wanakutana at the expense of tax payers money kujadili how to consolidate their power by suppressing people not to air their views, killing democracy, oppression and the like! Wanataka wanapokuwa wanagombea madaraka waue, bila kuhpjiwa kama walivyofanya Kenyata na Rutto! Shame up on you!

hii mijamaa inashangaza sana hivi wakati wanajiunga icc walikaa kikao kujadili either wajiunge ama la?wanajitoa kwa faida ya nani?hivi immunite ya raisi ni kwa makosa aliyofanya kabla ya kuwa raisi au katika kipindi akiwa raisi?
Wastakiwa ni watatu ila wawili kwamakosa yao wenyewe wanataka kuligarimu bara zima.heko botswana kwa msimamo wenu
 
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?

Wapi haijatenda haki kwa Afrika? toa mifano? waliohukumiwa kina Charles Taylor hawakufanya makosa.Jamani,Issue hapa ni viongozi wa kiafrika kujiepusha na uvunjaji wa haki za binadamu,hawatapelekwa ICC
 
Mnatumiwa na mabeberu kuja hapa JF,mnafurahia Viongozi wenu kudhalilishwa na mfumo wa kikoloni? Blair na Bush wali ua maelufu ya watu hawakwenda hata ICC! Marekani haija saini hata mkataba wa Rome! Enyi waafrika wajinga mna ona kama jambo la kawaida viongozi wenu kudhalilishwa??? Mmelogwa na nani enyi kizazi masikini wa fikra na kutambua utu na thamani yenu????
CC CHUAKACHARA

Kwa akili yako unaona sawa tu kwamba wao wawaue watu kwa uchu wao wa madaraka.Hilo wewe unaona sawa kwamba wawaue watu...Ila kwako ishu ya kudhalilishwa kwa wauaji ni ishu sensitive sana.Jitafakari kwanza kabla ya kupost.
 
Back
Top Bottom