ICC ni mkombozi wetu sisi wananchi wa Africa otherwise tutachinjwa na hawa madikteta kuliko kuku.
Ukiwasikiliza Wakenya wanasema hawatendewi haki na hii inaweza kumtokea kiongozi mwingine wa Africa, kwahiyo hapa ni kwamba wao wafanye mauwaji then watafute support ya kuungwa mkono kwamba hawakufanya mauwaji. Respect ipi unayotaka? Au kuuwa wananchi wako halafu dunia ikushangilie utunukiwe na nishani ya Nobel kwa kuwa muuwaji mzuri??
Kenyatta na Ruto wanatakiwa kufungwa ili iwe fundisho kwa viongozi wa Africa.