African cup of nations-mataifa huru africa

kwa kweli Game ya Senegal na Zambia ni tamu sana, zambia wanacheza vizuri mno so fur wanaongoza kwa goli 2 bila dkk ya 29 sasa. beki ya senagal inakatika sana kuna hatari wakafungwa magoli zaidi
 
Back
Top Bottom