Kufuzu World Cup 2026; Tanzania yatupwa Kundi E ikiwa na Morocco na Niger

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,462
29,160
FB_IMG_16892714229437498.jpg

#MICHEZO
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepangwa kundi E katika harakati za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026.

Timu ambazo Stars imepangwa nazo ni pamoja na

Morocco
Zambia,
Congo,
Tanzania,
Niger &
Eritrea.

Michezo hiyo itaanza kuchezwa mwezi Novemba mwaka huu

#KombeLaDuia #TaifaStars #TFF
==

The official Draw comes just hours after the 45th CAF General Assembly which was also attended by CAF President Dr Patrice Motsepe and FIFA President, Gianni Infantino in Abidjan.

African football legends Emmanuel Eboue, Asamoah Gyan, Austin 'Jay Jay' Okocha. Emmanuel Adebayor, Wael Gomaa and Alexandre Song assisted in the draw.

A total of 54 African nations will compete for the available 9.5 allocated spots for Africa, with the qualifiers officially starting in November.

As in previous qualifiers, the draw produced some interesting outcomes for the nations, who were split into nine groups of six as the journey to Canada, Mexico and USA gets underway in the next few months.

Winners of each Group will automatically qualify for the FIFA World Cup™ 2026.

The four best runners-up (from the Groups) will play in a CAF Play-Off tournament. The winner of the CAF Play-Off Tournament will play in the FIFA Play-off Tournament to potentially be the 10th African nation.
 
Tanzania tunaweza kuifunga timu ipi Duniani?

Moroco si ndio timu ya baharia Achraf Hakim yule wa psg?.
Kuna timu ya Taifa ya nchi ya San Marino. Hii timu inafungwaga na timu zote inazochezaga nazo (sare tu mbinde). Nina hakika tunamfunga huyu.

Ila kwe kundi letu Eritrea na Niger tunaweza kuwapiga nje ndani. Congo na Zambia patachimbika.

Morocco ndio hao hao waliofika nusu fainali world cup iliyopita.
 
Morocco..hmmm

Kwani hapo zinatakiwa kufuzu timu ngapi??

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Timu ngapi zinapaswa kupita bila kupepesa macho
Groups ziko 9,
Kila group litatoa timu MOJA tu ambae kwetu tuseme atatoka Morocco.

Kisha timu nne ambazo ni washindi wa pili waliofanya vizuri zaidi kuliko washindi wa pili wengine watakua na Playoff zao watoane hadi aje apatikane mmoja tu.

Huyo ataenda kucheza playoff na bara jingine kisha akifuzu ndio anaungana na wale 9 pale juu wanakua 10. Akifeli tunaishia palepale kwenye 9 tu.
 
Kuna timu ya Taifa ya nchi ya San Marino. Hii timu inafungwaga na timu zote inazochezaga nazo (sare tu mbinde). Nina hakika tunamfunga huyu.

Ila kwe kundi letu Eritrea na Niger tunaweza kuwapiga nje ndani. Congo na Zambia patachimbika.

Morocco ndio hao hao waliofika robo fainali world cup iliyopita.
Walifika nusu sio robo
 
Back
Top Bottom