Afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Arusha,Yotam Ndembeka, kimeo

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Jana waandishi wa habari mkoani Arusha walimkataa Afisa habari wa mkuu wa mkoa , Yotam Ndembeka,mbele ya bosi wake Magesa Mulongo, wakidai ni mbinafsi mbaguzi,mwenye majungu na hafai kuwa afisa habari wa mkoa na kumtaka mkuu wa mkoa amwajibishe kabla hawajatoa tamko la kususia kuandika habari za mkoa wa Arusha.
 
Waandishi nao kwa kulalama hawajambo, usikute hakuweka majina yao kwenye paylist ndo maana wanamwita mbinafsi.
 
Watu hawafanyi kazi kwa kuendekeza umbea wa Jamii Forum,Mbona hatujasikia hao waandishi wakisusia kuandika habari za mkoa?Au kwa vile kawanyima pesa kwa kutowaweka kwenye Paylist?Wakisusia kuandika habari za Mkoa,Mawe yataandika habari.Mnamwonea wivu nyie wajamaa
 
Ndembeka mwenyewe naona kadelete majibu yake hapo juu! Mkuu njoo safisha hii kitu kama unayo majibu siyo mbaya ukimjibu mleta uzi!
 
Ya ngoswe amwachie ngoswe,elimu:certificate naye alitaka u-PRO hahahahahaha!!!!yeye anafaa awe Kanjanja!!!!Atu hakuna alichowaza ni kumletea tabia za kike humu,kama yeye ni mfanyakazi wa Mkoani kwa nini asilifikishe suala hili kwa Mkuu wa Mkoa kama hajamvisha gauni na helen.He is more than a woman!!!Bull shit!!!Nilisubiri nione siku nione waandishi wa Arusha wamegoma kuandika habari za Mkoa.Serikali ingekuwa inaendeshwa kwa umbea wa vyombo vya habari leo Zombe angekuwa keshafungwa,na Babu Seya angekuwa kesha achiwa
 
Back
Top Bottom