Arusha Leo
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 122
- 72
Jamani huyu afisa habari wa mkoa wa Arusha,Yotam Ndembeka mbona kituko badala ya kutoa habari kama PRO yeye amegeuka tarishi wa kufunga na kumfungulia mlango gari RC,kumbebea mafaili,kumchukulia posho za mikutano,na kutembea nae kwenye gari kama bosi na kusahau majukumu yake ,wananchi wanapotaka taarifa za mkoa wanaambiwa wamwone Ndembeka wakimfuata ofisni kwake wanakutana na kofuri hayupo,sasa tuelewe moja wewe ni tarishi wa mkoa ama PRO wa ofisi ya RC maana huna msaada kwa jamii hata wafanyakazi wenzako unatuboa ?