Afande Sele atoa wimbo: Mr President

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,636
Upo poa sana ndio nasikiliza interview yake na Michael Baruti na Zembwela.

Nawasilisha.
 
sele namkubali ila sometimes anakosea sana, sasa anamponda J Makini anategemea nini???????
napata shaka kama ile darubini kali alitunga yeye, kwani kusema 'wachukua tuzo wanavuja kama fistula' ye katafsiri vipi???
kwa tafsiri yangu mi nadhani makini alimaanisha kuna watu wanapewa tuzo ila hawstahili ndo maana baada ya siku tatu, nne hawako tena kwenye vyombo vya habari na wameshapoteza mwelekeo, thats it, wacheki akina j4 iddi walopewa hadi gari,wako wapi sasa???????
kiupande flani mnyama leo dizain hivi kachemka ila namkubali sana
 
sele namkubali ila sometimes anakosea sana, sasa
anamponda J Makini anategemea nini???????
napata shaka kama ile darubini kali alitunga yeye, kwani kusema
'wachukua tuzo wanavuja kama fistula' ye katafsiri vipi???
kwa tafsiri yangu mi nadhani makini alimaanisha kuna watu wanapewa tuzo
ila hawstahili ndo maana baada ya siku tatu, nne hawako tena kwenye
vyombo vya habari na wameshapoteza mwelekeo, thats it, wacheki akina j4
iddi walopewa hadi gari,wako wapi sasa???????
kiupande flani mnyama leo dizain hivi kachemka ila namkubali
sana
yupo chanal 5 ana mdiss chidi benz na tanesco wanachua umeme wao naomba update please
 
Yeye ambaye anajiona poa,nini kilimsababisha enzi hizo akavua suruali jukwaani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom