sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Lazima ni mind manake supamani kaweka mkono shavuni, lol.Haaa haaaa kumbe ume-mind eeh?
Lazima ni mind manake supamani kaweka mkono shavuni, lol.Haaa haaaa kumbe ume-mind eeh?
Naweza pia kusaidia kazi za nyumbani . . .
Hehehehe njoo asubuhi alafu utakaa mpaka jioni.Breakfast kiepe yai. . .lunch kiepe kuku na dinner kiepe mishkaki!
Dah.........UMENIKAMATAAAAA!!!! Yaani monile tu nishatia maguu, ila usishangae nikiomba kukaa wiki nzima lol!!!
I have two homes: Moja iko huku nanihii . . .
The other one, not many people know, it is here . .
Sometimes I travel and stay anywhere in space:
Unapenda nije kwenu? Ni wapi?
Nimeshangaa supamani manake ulianza na NN sasa tena wahamia kwa mbu...Khaaa! Ndo unapiga Astakafiri hata kama si mtu wako? Kwani yeye hafai?
Sasa wewe mtu wako ni nani?
Sana tu supamani... Thanks too!Thanks. Kumbe una upendo eeh?
Hahahaha. . . We ilimradi mfanye kazi tu na besti yako.
Chakuamkia kesho kutwa kiepe samaki. . . alafu unapumzika siku moja kabla ya kurudia viepe.
Haya anza na usafi ndani. . .
Ukimaliza uoshe vyombo. . .
Baada ya hapo upike. . .
Wakati nakula ufue. .
Ukimaliza ntakua nshashiba niandalie maji ya kuoga kabla hujaosha vyombo.
Kazi nyingine ntakuagiza kabla sijapumzika.
Niko double supamani...Your welcome . . . lakini hujanijibu Mtu wako ni nani? Au uko single and available?
bahati yako umesema ukweliNiko double supamani...
Usiniambie 'just in case....,' you are making it sound like you are giving that to me out of kunisaidia...hell no!Nimeshamkumbusha.
Mkuu sina deni na mtu mie. Ila just in case ukihitaji pesa, here is the money. All yours!
Then twende huku kwanza . . . .
Ukiendelea kunisema vibaya nakudondosha! lol
Hahaha! Umehakikisha wamelala?bahati yako umesema ukweli
Haya ndo nimerudi, nilikua nabembeleza wanangu wa nap kwanza...
Anaenda kukutupa baharini manake umezidi kumsonga na hilo deni la boss wako NN!Usiniambie 'just in case....,' you are making it sound like you are giving that to me out of kunisaidia...hell no!
Lipa deni bana Supamani usijidai utanidondosha, kwani tunaenda wapi?
Me aint going nowhere with you...
Acha tu, mtoto mkubwa hadi anap si kazi ndogo hivooHahaha! Umehakikisha wamelala?
Kuna nini hapa?