consigliori
JF-Expert Member
- Mar 29, 2010
- 392
- 89
Wakuu, hebu nijuzeni ni wapi naweza kwenda kuna waalimu wazuri wa advanced MS EXCEL? Msaada wenu tafadhali
Hapana huu si ushauri mwema saana. Nilikuwa naamini kama wewe lakini nilikutana na walimu hasa na kama unajua computer kwa level ya intermediate, advanced course ni two days. Lakini kama unamatatizo yoyote kwenye advanced excels wewe post hapa, utasaidiwa. Ila usiende kwa walimu wetu wa mitaani. Kibongo bongo ni kuganga njaa saana.Sikushauri sana kutafuta waalimu ni bora utafute kitabu ukajifunza mwenyewe. Kwa mtazamo wangu ni kama unapoteza pesa bure tu.
Wakuu, hebu nijuzeni ni wapi naweza kwenda kuna waalimu wazuri wa advanced MS EXCEL? Msaada wenu tafadhali