Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 16,488
- 41,634
Kwenye mahusiano Kila mtu ana mtindo wake wa kuyaendesha. Kuna ambae ni playboy, hana muda wa kusettle na mwanamke kwa muda mrefu, anapiga na kuacha. Kuna dada ambae ameamua kuwa mdangaji, yupo kimaslahi zaidi, yeye ni kutengeneza pesa kupitia mwili wake. But all in all huwezi kuwa Playboy au mdangaji maisha Yako yote, itafika siku utahitaji kutulia ili uanzishe familia.
Hapo kwenye timing ndio wengi tunakosea sana. Yupo anayesubiria afikishe umri Fulani ndo aache uplayboy then atafute mke aoe, yupo anayefikiria kutimiza malengo fulani au kupata kiwango Fulani cha Hela then ndo aache udangaji. On my opinion, that is totally wrong, regardless of age or wealth, quit when a right person enters your life. Kuna muda unakuwa katika mahusiano na mtu ambae Yuko very decent and loves you unconditionally, ila kwa kutotambua huwa tunawachukulia poa then tunawatreat vibaya for the sake of our life styles. Then kikifika kipindi tunachoamua kutulia, tunaanza kuwa busy kutafuta right person wa kusettle nae bila kukumbuka alishakuwepo ila hakupewa attention. Kwa ufupi tunaenda mbele kumtafuta mtu ambae tulimuacha nyuma, na hapo ndo Kila unayekutana nae, hola, Kila unapotaka kutulia unaona ni kivuruge. Unaanza kuhisi umerogwa usiolewe/usioe kumbe ulijiroga mwenyewe. Kuna muda unatafuta mchawi wa maisha yako, kumbe mchawi ni wewe.
Unajua Nini huwa kinafatia? After heartbreak nyingi, ndo mtu akitulia anamkumbuka yule ex wa miaka ileee. Hapo atafanya Kila njia kumtafuta au kutafuta mawasiliano yake walau aone kama anaweza kurepair alipoharibu. Bahati mbaya huyo ex alishamove on, ila kwavile binadamu tumeumbwa na ubinafsi, unapogundua alishakusahau na anafurahia mahusiano yake ya sasa, wewe unaanza kutafuta namna ya kumfanya akurudie bila kumjali aliyenae kipindi hicho. Kwa kuitafuta furaha yako, unaamua kuharibu furaha ya wengine. Kwa kutafuta amani ya moyo wako, unaamua kuwaondolea wengine amani. Kwa kutafuta mtu wa kusettle nae katika maisha, unaamua kuidisturb happy couple.
My message to you guys, know when to quit your nonsense life style. It's not about age or wealth, ITS ALL ABOUT THE RIGHT PERSON. Once you find him/her drop everything else and build together. Life itself is too hard, do not add a complicated relationship on top of it.
Until Next Time,
Regards,