Adui yetu Namba Moja ni Umasikini!!

@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!


Willie! @ Facebook!!!

Ongezea na Chadema maana sasa inaonekana serikali inapambana na Chadema hivyo maadui wa kuu saizi ni
1. Maradhi
2. Ujinga
3. Umasikini
4. Rushwa
5. Chadema
 
@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!

Willie! @ Facebook!!!
umaskini tumeshamzoea sana hadi ameshakuwa rafiki yetu wa karibu mno.
Kwa sasa adui wetu mkubwa ni 'UJINGA'
 
- Unajua through my research nimegundua kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani, ambayo wananchi wake wana majumba makubwa ya kifahari lakini hayakujengwa kwa mikopo toka benki, ha! ha! ha! ha! yaani it is incredible!!

Willie!

Kwahiyo conclusion yako ni nini?

kwangu mimi nikuwa tunaserekali DHAIFU na LEGELEGE ambayo HAIKUSANYI KODI,
Haiwezekani watu wakawa matajiri kuliko SEREKALI, Nimesoma humu kuwa kuna mtu anatembelea GARI la 1 Bil. Hivi hii maanake ni nini?
 
Reading all your comments inatosha kuonyesha kwa nini Tanzania ni masikini,
Almost Kila mtu anamlaumu someone, if not CCM, then some fisadi somewhere up the chain
WATANZANIA SISI NI WAVIVU, HATUNA NIDHAMU YA KAZI ,NA TUNAPENDA STAREHE THATS WHY SISI NI MASIKINII
I:eek2:
 
Adui yetu m kubwa siyo umasikini hata kidogo. Uasikini wa mali au wa watu? Au wa akili? Siyo hata kidogo. Adui yetu mkubwa ni tamaa na ubinafsi wa viongozi wetu kuanzia kwenye familia, mjumbe wa nyumba kumi hadi rais. Viongozi wetu wa dini pamoja na jumuiya zake are even worse. Adui huyo hata sijui tunaanzaje na wapi kupambana naye maana ni kama kansa ya damu iliyoanzia kwenye sifongo.
 
No! Adui yetu mkubwa ni UJINGA. Umasikini ni matokeo tu - ni mtoto mmoja kati ya wengi wa baba ujinga.
Nchi inapokuwa na rasilimali kibao halafu watu wake wakawa bado maskini miaka 51 baada ya uhuru lazima kutakuwa na uchizi kimtindo (hata kama tukibisha saaana).
NB: Ujinga huo si ule wa kutokujua kusoma na kuandika, ni ujinga wa kutojitambua, kutojiamini, kutokuwa na vipaumbele, etc.
Kuna nchi nyingi zilikuwa masikini mwaka 1961, lakini leo ni prosperous/affluent.
Hivyo basi, umaskini si adui namba 1, bali ni matokeo ya kucheza na maadui.
 
CCM ndio tatizo la kwanza Tanzania, kwenye wale maadui watatu alikuwa anapambana nao mwalimu, sasa namba moja ni CCM...na kwahiyo yamekuwa manne.
 
Tatizo la UJINGA tulilonalo waTZ ni sawa na watu wawili waliotumbukia kwenye shimo refu ambao iliposhushwa ngazi ndefu ili waitumie kutoka, wao waligombania nani aanze (selfishness/greed). Matokeo yake wakakaa na kukubaliana wagawane ile ngazi nusu kwa nusu ili kila mmoja atoke kivyake ...mifupa yao bado imo mle hadi leo.
Sasa hapo utaona hao jamaa walikuwa na akili ya kukaa na kukubaliana, lakini hawakuwa na upeo wa kuelewa hatma,wanataka nini. (MYOPIC).
SALA FUPI: Mungu Tubariki Watanzania (viongozi na wananchi) ili tuelewe kwamba lengo si kupanda ngazi, bali ni kutoka shimoni, AMEN!
 
The real problem is corrupt leadership ... leadership that is willing and ready to trade patriotism for personal and selfish interest.




@ W'S EXPERIENCE: Tatizo moja kubwa Tanzania ni UMASIKINI, we are too poor kuweza ku-deal seriously na matatizo mengine, Umasikini huanzia kwenye mali na ukiwa un checked huamia kwenye akili, masikini mmoja hawezi kumsaidia masikini mwingine kutoka kwenye
umasikini waliomo, na kama Serikali haikuwasaidia kutoka kwenye ule umasikini, watailazimisha Serikali nayo kuwa masikini kama wao, so serikali yetu masikini hatukuipata kwa bahati mbaya!!


Willie! @ Facebook!!!
 
Watanzania,

Tumeshasema tunataka mabadiliko, na hatuwezi kuyapata bila kuiangusha na kuitokomeza kabisa CCM. Sasa basi kiongozi au mwanachama yoyote anayetoka CCM na kujiunga upande wetu huyo anakuwa si adui yetu tena, huyo anakuwa ni rafiki wa kweli ili kutupa mikakati ya kuimaliza CCM kwa urahisi zaidi sababu anakuwa anaijua nje ndani.

Kwa hiyo wanachama na viongozi wanaokuja CCM tuwapokee, huwezi kumshambulia adui ambaye tayari kashajisalimisha kwako - hilo ni kosa kubwa hapa duniani hata mbinguni.

Hawa ndiyo daraja la kuiangamiza CCM, wapo wengi wanaokuja - tuwapokee huu ni mpango wa Mungu kuturahishishia mabadiliko ambayo tumeyalilia kwa zaidi ya miaka 20 tangu uasisi wa vyama vingi na sasa yanatimia hasa kwa kupitia viongozi na wanachama hawa wanaojiengua toka CCM.

Adui zetu wanabakia kuwa ni wana CCM wote kokote kule waliko ambao bado hawajajisalimisha kwetu - Mashambulizi yanaendelea Left, right and Center - Ushindi ni saa nne asubuhi 25th October kama Mzee alivyokwisha sema.

Alutaa!
 
Adui wa TANZANIA ni CCM lakini MKOMBOZI wa KWELI bado HAJAPATIKANA labda mpaka 2050
 
Hizo ni ndoto za kyenda wazimu, tatizo letu ni uelewa mdo na kukaririshwa maneno, wenye akili timamu wanataka hoja na si mambo ya mtaani, mtu kanywa gongo zake huko anakurupuka na kusema ccm ni adui, maana yake imetangazwa vita au ndo mpango wenyewe huo, kama watu hawajapata dola wanachachawa hivi je wakiipata si itakuwa balaa tupu, hii nchi iko huru na vyama vyote vipo kwa mujibu wa katiba yetu. chama kinaondoka kwa utaratibu na si kwa jinsi hiyo ya kilevilevi. Je huko unakofikiri kwamba kuna asali na maziwa, umewafanyia utafiti na kujilidhisha kuwa wanaweza? au unapigwa saundi ya mdomo2 na unawaamini, utauziwa mbuzi kwenye gunia na utakuwa wa kwanza kutujuza ndani ya JF.
 
Mimiadui yangu namba 1 ni Fisadi Edward Ngoyai Lowassa,huyu mmwizi kuitamani Ikulu ni sawa na fisi kutaka apewe bucha kwa dakika tatu tu• Mungu tuepushie mbali balaa hili la Fisadi huyu
 
Back
Top Bottom