kama hana kaka wala mdogo?mimi nitamuomba nitembee na kaka au mdogo wake
ngoja nikuambie ukimsamehe kwa hili kwanza mwenyewe hato aimini coz lazma atakuwa anajua utamwacha au ndo hivyo mahakaman,Nakuhakikishia atakuheshimu na kuwa mwaminifu kuanzia hapo kama alikuwa lipapa na upapa ataacha.Asamehewi mtu, nabeba ndundu zangu tutakuna mahakamani nijue vipi ataleta matumizi ya mtoto. Hiyo samehe samehe inafanyika kuonekana kucheat its OK thing.
Mpe ofa ya BJ halafu mngate lol
kupeana talaka na kugawiana mali, na juu ya malezi ya mtoto.mahakamani kutafuta nini?
mimi nitamuomba nitembee na kaka au mdogo wake
Wadogo zako wanatafuta nini kwako? kinga ni bora kuliko tiba!Wanajamii hasa wanawake nataka kupata maoni yenu juu ya adhabu ambayo utampa mume0 ikiwa "kateleza" katembea na mdogo wako wa tumbo moja baba mbalimbali ukiwa mjamzito karibu na kujifungua!ukajua kwa mdogo mtu kukurpuka na kukwambia! Lakini mumeo amejutia akatubu kwa kukubembeleza na kukwambia mazingira yalimsababisha ateleze! Majibu yenu ni muhimu sana ili niwake kisa cha kweli cha tukio hili!
Wanajamii hasa wanawake nataka kupata maoni yenu juu ya adhabu ambayo utampa mume0 ikiwa "kateleza" katembea na mdogo wako wa tumbo moja baba mbalimbali ukiwa mjamzito karibu na kujifungua!ukajua kwa mdogo mtu kukurpuka na kukwambia! Lakini mumeo amejutia akatubu kwa kukubembeleza na kukwambia mazingira yalimsababisha ateleze! Majibu yenu ni muhimu sana ili niwake kisa cha kweli cha tukio hili!
Wanajamii hasa wanawake nataka kupata maoni yenu juu ya adhabu ambayo utampa mume0 ikiwa "kateleza" katembea na mdogo wako wa tumbo moja baba mbalimbali ukiwa mjamzito karibu na kujifungua!ukajua kwa mdogo mtu kukurpuka na kukwambia! Lakini mumeo amejutia akatubu kwa kukubembeleza na kukwambia mazingira yalimsababisha ateleze! Majibu yenu ni muhimu sana ili niwake kisa cha kweli cha tukio hili!
Ndoa co ki2 simple jaman,uvumulivu muhimu japo kuna mambo mengine mazito,kama hajawahi kufanya kosa lingine la namna hiyo ni vyema ukamsamehe kwa kumpa condition yaan iwe mwisho kufanya hivyo!
#ila wanaume wengine nao hata aibu hawana jaman dah!#
Mbali na kumtetea, au kumtakia adhabu kubwa kabisa,mimi sioniKwanza unaposema unaposema "adhabu kubwa kabisa" una maana gani? Maana hata kumwua inaweza kuwa ni "adhabu kubwa kabisa". Pia kuamua kumsamehe na kuendelea kukaa nae inaweza kuwa ni "adhabu kubwa". Kama kisa hiki ni cha kweli, kuna haja kweli hapa ya kuanza tena kuchambua "adhabu kubwa" anayohistahili? Huoni kama unapoteza muda?
Halafu pamoja na kutaka kujua "adhabu kubwa" utakayompa, naona kama tayari unamtetea hasa pale unaposema eti "kateleza". Yaani kutembea na mdogo wako ndio "kateleza" sio eh? Kwa nini alishindwa kuteleza kwa wanawake wengine mpaka aje "kuteleza" kwa mdogo wako? Unaendelea kusema eti "amejutia akatubu kwa kubembeleza na kukwambia mazingira yalimsababisha ateleze". Msamehe basi na endelea kukaa naye.