Adha ya Maji UDSM na Athari Zake

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Ukitaka kujua kuwa usomi c chochote, basi maji yakatike hata kwa siku moja tu hapa udsm campus. Vyoo vinakuwa kama havi2miwi na wasomi, mtu na akili zake anaingia chooni hana maji anaachia mzigo bila kuflash choo,cha ajabu anakuja mtu mwingine anaweka mzigo juu ya mzigo mwingine.
HIVI NINI MAANA YA USOMI WENU? MKIFANYA NYIE HIVYO NA WASIO WASOMI WAFANYEJE?
Tujirekebishe wadau!! Aibu kwetu mbele ya taifa letu.
Hall 5, hall 2 n.K.
 
Back
Top Bottom