Mwanasheria uchwara kwa hiyo hujaona biashara iliyotangazwa pale? Saifi Store hafanyi biashara?Nendeni Mahakamani ....milango wazi ..
Simba: Muheshimiwa nembo yangu imebandikwa kibiashara
Yanga: Mheshimiwa Jaji ..embu Makolo watoe ushahidi
Simba: Kanibandika ubaoni Tegeta bila ruhusa yangu ..na ni biashara
Yanga: Mheshimiwa lile bango tulilidownload kutoka Azam TV ..tuwaite watueleze walilitoa wapi .. Na hiyo biashara ya 1-5 iliyobandikwa hapo juu wameitoa wapi ..
Simba: Mheshimiwa sisi tunaomba fidia ya kuwekwa ubaoni bila ruhusa..
Jaji : Kwani bango wameweka biashara gani?
Simba: Mheshimiwa ...1-5 ...yaani tulitandikwa mkono ..(5)
Jaji: Sasa kama mlikula HAMSA .. Mlicheza bila nembo yenu kwenye jezi?
Simba: Mheshiwa hapana ..tulicheza na jezi zetu na nembo zipo ..ila Yanga wametubandika bila ruhusa yetu..
Yanga: Mheshiwa ..hawa makolo wanatupotezea muda ..Tuombe Kamisaa wa mchezo aje, Azam TV na TFF ..watueleze nini kilitokea 5/11/23 ..Uwanja wa Mkapa ..
Na kama kilichotokea kina reflect bango letu au hakireflect bango letu...
Jaji: Natoa wito kwa TFF , Bodi ya ligi, Azam TV ..waje watoe ripoti kilichotokea tarehe 5/11/23
Yanga: Mheshimiwa ..tunaomba wajumuishe na Aziz Ki, Max Nzengeli na Pacome kama mashahidi..
Jaji: Mahakama itazingatia