Adebayor ni muziki mnene

dazu

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
365
76
Nimeangalia mechi ya Madrid na Totenham jana, nimegundua kwamba Adebayor bado ni striker hatari sana, Alikua anabaniwa tu pale man city, kapiga bao 2 safi sana za kichwa. Nadhani Mzee Wenger anammezea mate kwa sasa.
 
Back
Top Bottom