ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

paka kipofu hula panya waliokufa .....chungu hii lkumeza akini ndio ukweli wenyewe
 
dalili za mwenye njaa zinajulikana wala hazininyimi usingizi nashindwa kwanini watu bado wanamjibu huyu mleta hoja hiyo ndio kazi yake ya katibu uenezi lazima afanye kazi yake apate kuwapa pressure na asipofanya hivyo atakula wapi? mwacheni ila 2015 wala sio mbali wadau kila mtu atatumia haki yake ya msingi na watu watakuwa wamepata uelewa wa kutosha.
 
halafu kwa watu wazima kuambiana mjinga, mpumbavu, kichaa, sijui maneno gani ambayo hayastahili jamani hii ni siasa tu mwisho wa siku tunakula kwenye sahani moja sasa kama wewe huwezi siasa ni bora ukae pembeni kuliko kuwa mnaongea lugha ya matusi kwa kutumia maneno makali tumieni tafsida. wote humu mna mav..... na sidhani kama kuna mtu ambae ni mtoto humu anaetumia keyboard yake kumtukana mwenzake jadili mambo sio kuambiana lugha za kijuha lol.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
hawa ADC ni kina nani mbona siwaelewi au shirika la kuudumia wakimbizi nielewesheni plz
 
hawa ADC ni kina nani mbona siwaelewi au shirika la kuudumia wakimbizi nielewesheni plz

ADC ni chama cha Siasa nchini Tanzania ie; Alliance for Democratic Change...slogan; Dira ya Mabadiliko, Tumaini la Mtanzania.
Tumekuja kwa makusudio ya kushika dola kwa njia za kidemokrasia baada ya kuona vyama vingine vimepoteza muelekeo. Vikijikita zaidi kwenye Ufisadi uliokithiri, Rushwa na Masuala mengine kama hayo yaliyo nje ya Maadili hivyo kusababisha ugumu wa maisha ya mwananchi wa kawaida, kukosa huduma muhimu kama elimu bora, huduma mbovu za afya, miundombinu mibovu hasa kwa Vijijini na hata ile ya Mijini kujengwa chini ya kiwangi ( mfano Kilwa Road jijini Dar es Salaam)
Karibu ADC, ADC ndio Mkombozi wako ewe Mtanzania.
 
Jamani hicho ndiyo chama gani tena? Kweli dunia ni uwanja wa fujo. Eti ADC. Pia bendera ni kama ya chadema. Wanataka watembele kwa kutumia mgongo wa chadema nini? Arafu chama hiki kitakufa kwani CUF wamesitisha kumfukuza yule jamaaa.wametumia hekima ya kibibiria ya kuyaacha magugu yakuwe pamoja na ngano.
 
Jamani hicho ndiyo chama gani tena? Kweli dunia ni uwanja wa fujo. Eti ADC. Pia bendera ni kama ya chadema. Wanataka watembele kwa kutumia mgongo wa chadema nini? Arafu chama hiki kitakufa kwani CUF wamesitisha kumfukuza yule jamaaa.wametumia hekima ya kibibiria ya kuyaacha magugu yakuwe pamoja na ngano.

Ni tawi la CDM
 
Ni tawi la CDM

Japo Katiba ya Nchi inakupa uhuru WA kutoa maoni lakini Pumba huwa hazipokelewi hata kidogo. Kikatiba ni haki yako kuwa na uono huu lakini kwa vyovyote vile utaachwa na madudu yako kichwani.
 
Back
Top Bottom