ADC ni chama kipya na kimeshapata usajili tayari

Kongamano

Member
Sep 3, 2012
42
8
katika nchi hii ya watu vigeugeu, taifa lenye watu wenye tamaa na wanaojali maslahi yao binafsi kuliko ya taifa, ni lazima tukubali idadi kubwa ya vyama vya siasa, kwa sababu wapo viongozi wasio tayari

kuongozwa, wanaposhindwa kwenye chaguzi zao tu, wanahama au wanaona bora chama kife kuliko kuwaona wengine wanashika madaraka. Hali hii ni tishio na hatari sana kwa nchi, ni bora tukaruhusu ushindani huu wa vyama vingi ili vipaji vya viongozi vipate uwanja mpana wa kujengwa na pengine hatakinapoanguka kimoja kingine kinashika hatamu. Wanaopinga ongezeko la vyama vya siasa hawana uwezo wa hoja na pengine ni watu waliopata fursa zao kwa undugu au urafiki n.k adc, chauma na wengine wote kazeni buti mchukue vijiji na kata na mshindane pia uchaguzi mdogo wa majimbo.achaneni na wajinga wanaowaita ccm b au wanaowaita mapandikizi ya chadema
 
Usajili wa kudumu wa chama cha ADC ni pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama cha chadema kwa sababu zifuatazo:. Wananchi wengi hasa wa vijijini wanapiga kura kutokana na rangi ya chama.CDM NA ADC wanatumia rangi zinazofanana.. Wabunge wa CDM ambao wanataka kuondoka CDM wanaweza kukumbilia ADC na hasa mhesimiwa Zitto na Mbowe kwani muda wake kama mwenyekiti wa chama ndio umefika kikomo hivyo basi anataka kwenda kwenye chama ambacho atakuwa mwenyekiti na si vinginevyo kama alivyokuwa anafanya mzee wa KIRARACHA. Zitto hatakiwa CDM hasa kutokana na kuwa na tamaa ya madaraka wakati kuna wana cdm potential kama Lisu.. Mafisadi ambao siku zao zinahesabika ndani ya ccm, ADC ndio kimbilio lao na hasa baada ya Dr SLAA kushindwa kuficha siri za wale wanaotaka kuhamia CDM
 
Hangover ya pombe za kienyeji ukichanganya na njaa ni mbaya sana! mimi nilipoona thread yako nikajua labda ADC wana sera, katiba na itikadi bora kuliko CDM Nikajiandaa kuzisoma kufungua thread utumbo ambao hauna kichwa wala miguu! Mbowe hana uchu wa madaraka na kama Zitto ataenda ADC aende tu ni haki yake kikatiba unaharau wananchi wa vijijini kuwa hawawezi kutofautisha ADC na CDM? wewe inaelekea ni mkoloni mweusi!
 
Hata hueleweki

hata mimi simuelewi nafikiri katoka singizini alikuwa anaota si unajuwa wanaweweseka na cdm.......
namkumbusha cdm haikuanza jana ni 20 yrs now kwa hio adc mpaka wafike wakuwe kama cdm leo hii ndani ya 6 month sijui sina uhakika

Waambie ADC wamefika muda muafaka waje kushuhudia makabidhiano ya serikali inayoacha madaraka na serikali mpya.
 
Usajili wa kudumu wa chama cha ADC ni pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama cha chadema kwa sababu zifuatazo:. Wananchi wengi hasa wa vijijini wanapiga kura kutokana na rangi ya chama.CDM NA ADC wanatumia rangi zinazofanana.. Wabunge wa CDM ambao wanataka kuondoka CDM wanaweza kukumbilia ADC na hasa mhesimiwa Zitto na Mbowe kwani muda wake kama mwenyekiti wa chama ndio umefika kikomo hivyo basi anataka kwenda kwenye chama ambacho atakuwa mwenyekiti na si vinginevyo kama alivyokuwa anafanya mzee wa KIRARACHA. Zitto hatakiwa CDM hasa kutokana na kuwa na tamaa ya madaraka wakati kuna wana cdm potential kama Lisu.. Mafisadi ambao siku zao zinahesabika ndani ya ccm, ADC ndio kimbilio lao na hasa baada ya Dr SLAA kushindwa kuficha siri za wale wanaotaka kuhamia CDM

Mkuu ulilpokuwa Old Moshi Sec ulikuwa na hekima sana sijui ni shetani gani amekuingia sasa hivi.
 
Usajili wa kudumu wa chama cha ADC ni pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama cha chadema kwa sababu zifuatazo:. Wananchi wengi hasa wa vijijini wanapiga kura kutokana na rangi ya chama.CDM NA ADC wanatumia rangi zinazofanana. Wabunge wa CDM ambao wanataka kuondoka CDM wanaweza kukumbilia ADC na hasa mhesimiwa Zitto na Mbowe kwani muda wake kama mwenyekiti wa chama ndio umefika kikomo hivyo basi anataka kwenda kwenye chama ambacho atakuwa mwenyekiti na si vinginevyo kama alivyokuwa anafanya mzee wa KIRARACHA. Zitto hatakiwa CDM hasa kutokana na kuwa na tamaa ya madaraka wakati kuna wana cdm potential kama Lisu.. Mafisadi ambao siku zao zinahesabika ndani ya ccm, ADC ndio kimbilio lao na hasa baada ya Dr SLAA kushindwa kuficha siri za wale wanaotaka kuhamia CDM

Hapo kwenye red, unaweza kuwa na hoja ya msingi. Nadhani msajili aliacha hivyo kwa makusudio hayo. Lakini naamini mwamko wa kisiasa ulivyo hivi sasa hata huko vijijini akili zao ni kama za mjini tu! Hakuna wajingawajinga kama zamani.

Otherwise, huna hoja ya kujadiliwa na gt!
 
Hapo kwenye red, unaweza kuwa na hoja ya msingi. Nadhani msajili aliacha hivyo kwa makusudio hayo. Lakini naamini mwamko wa kisiasa ulivyo hivi sasa hata huko vijijini akili zao ni kama za mjini tu! Hakuna wajingawajinga kama zamani. Otherwise, huna hoja ya kujadiliwa na gt!
Mkuu mbona umejadili na kuchangia pole sana
 
Usajili wa kudumu wa chama cha ADC ni pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama cha chadema kwa sababu zifuatazo:. Wananchi wengi hasa wa vijijini wanapiga kura kutokana na rangi ya chama.CDM NA ADC wanatumia rangi zinazofanana.. Wabunge wa CDM ambao wanataka kuondoka CDM wanaweza kukumbilia ADC na hasa mhesimiwa Zitto na Mbowe kwani muda wake kama mwenyekiti wa chama ndio umefika kikomo hivyo basi anataka kwenda kwenye chama ambacho atakuwa mwenyekiti na si vinginevyo kama alivyokuwa anafanya mzee wa KIRARACHA. Zitto hatakiwa CDM hasa kutokana na kuwa na tamaa ya madaraka wakati kuna wana cdm potential kama Lisu.. Mafisadi ambao siku zao zinahesabika ndani ya ccm, ADC ndio kimbilio lao na hasa baada ya Dr SLAA kushindwa kuficha siri za wale wanaotaka kuhamia CDM

For the matter of fact wewe ilipidi jina lako uitwe MAKAPI though umejiita MAKUPA! Yan umesubmitt pumba,
laiti ungekuwa na elimu ya uraia na kutambua kwmb ADC ni chama cha 18 kusajiliwa ktk list ya vyama vya siasa usingelopoka this kind of nosense! but sikulaumu sana because uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo,

may be utwambie what is so special with ADC mpaka umdharirishe mwenyekiti wa chama (CDM) kamanda MBOWE eti ataamia huko, kama si propaganda na ufinyu wa kufikiri kama si kuwa na mawazo mgando? Nawasilisha, ntarudi badae.
 
Duh, totally confused! Kwani shida nini ADC kupewa usajili wa kudumu? Si wametimiza masharti yote?
 
Back
Top Bottom