nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
Mkuu hii ndio naisikia leo nimeiona sehemu nikakimbilia jamii kwani najua hapa ndio kila kitu,naomba unipe data zake,kama vile ametokea timu gani,umri wake amenunuliwa kiasi gani analipwa vipi n.k.
Mkuu hii ndio naisikia leo nimeiona sehemu nikakimbilia jamii kwani najua hapa ndio kila kitu,naomba unipe data zake,kama vile ametokea timu gani,umri wake amenunuliwa kiasi gani analipwa vipi n.k.
Pamoja na hayo TFF wanapaswa kumfuatilia kwa ukaribu kama tunamuhitaji, isije kuwa kama M-danish Mtiliga, japo tunaweza kuacha akacheza timu za vijana za England, baadae tukamshawishi vinginevyo Zanzibar Heroes watatupiga bao!!Mwacheni dogo akipige,ataamua yeye wapi achezee...
Pamoja na hayo TFF wanapaswa kumfuatilia kwa ukaribu kama tunamuhitaji, isije kuwa kama M-danish Mtiliga, japo tunaweza kuacha akacheza timu za vijana za England, baadae tukamshawishi vinginevyo Zanzibar Heroes watatupiga bao!!
Hapo kwenye nyekundu ukishajua ndio utafanya nin?Mkuu hii ndio naisikia leo nimeiona sehemu nikakimbilia jamii kwani najua hapa ndio kila kitu,naomba unipe data zake,kama vile ametokea timu gani,umri wake amenunuliwa kiasi gani analipwa vipi n.k.
Huu uzi ni wa mwaka 2011 miaka mi 4 imepita. kwa bahati mbaya,hawa madogo wote hawajasikika,sio nditi,sulieman laluu,mbwana samatta,wala muchacho,wachezaji wenye asili ya tz wanatatizo gani
cc Jamal Malinzi