Ada kupanda UDSM imekaaJe kwa watoto wa Makabwela?

Mkuu acha ubishi mbona jamaa kakuelewesha poa michango mingine mbali na ada ni 74,900/= cash nyingine unapewa wewe na bodi sio wewe unapay,hamna ada iliyopanda
<br />
<br />
siwawezi, kumbe ni fani yenu ubishi wacha niwaache. Eehee kingine?
 
<br />
usitumie uzoefu naomba usome tena nimelielewa hata kama ni kiingereza nimerudia na nimelielewa ni 1.97...mil ukijumlisha hivyo sijakisia nimesoma naomba urudie tena na nimeongelea kwa ujumla wake kuhusu Udsm b.com.

Tangazo Nmesoma na Kulielewa, sio utaratbu wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuongea ktu bila kua na uhakika.. Naomba urudie tena na kwa umakini mkubwa.. Ukshndwa asa hv Kweli ww ni Kchwa Ngumu!! Na sijui ni ilikuaje ukafanikiwa kuchaguliwa kujiunga Chuo !?

Na hio tena sio 1.97 ni 1.985 na Ni for Meals and Accomodation+Stationary Allowance na imeandkwa Direct Students’ Costs (Payable Directly to Students) - Hio ni pesa ako utapewa na Bodi..
Punguza Ubishi na kujifanya unajua kila ktu na kuelewa zaid na ukiendelea Hvo maisha yako yatakua Magumu sana Mlimani hapa..
Karibu UDSM.
 
Back
Top Bottom