Ada advanced sekondari za serikali

kolombo

Member
Apr 2, 2016
25
13
Kama inavyojiekeza katika kichwa cha habari wadau, naombeni kujuzwa juu ya ada za shule za serikali za advanced Na kama michango mingine inaruhusiwa,
kuhusu o-level nafahamu ada na michango imefutwa,
kwa advanced naombeni mwongozo wadau.
Note; Shule za government/serikali tu.
 
Back
Top Bottom