Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Sep 29, 2012 #1 View attachment 66530View attachment 66531\ Mambo yake si haba ati... BelindaJacob upo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
BelindaJacob Platinum Member Nov 24, 2008 6,474 4,022 Sep 29, 2012 #2 wow! who can resist him jamani,ananikonga kweli huyu actor.. Ndahani cheki hapa mashallah!! yaani hata ndani ya shati,anaonekana amejengeka vizuriii.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
wow! who can resist him jamani,ananikonga kweli huyu actor.. Ndahani cheki hapa mashallah!! yaani hata ndani ya shati,anaonekana amejengeka vizuriii..
mpinga shetani JF-Expert Member Nov 22, 2010 3,236 954 Sep 29, 2012 #3 Huyu ndiye asiyefaa kabisa kuigiza kama James Bond
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Sep 30, 2012 Thread starter #4 BelindaJacob said: wow! who can resist him jamani,ananikonga kweli huyu actor.. Ndahani cheki hapa mashallah!! yaani hata ndani ya shati,anaonekana amejengeka vizuriii.. Click to expand... Nasikia anasakwa kama lulu iliyopotea. naacha kula ugali niondoe kitambi.
BelindaJacob said: wow! who can resist him jamani,ananikonga kweli huyu actor.. Ndahani cheki hapa mashallah!! yaani hata ndani ya shati,anaonekana amejengeka vizuriii.. Click to expand... Nasikia anasakwa kama lulu iliyopotea. naacha kula ugali niondoe kitambi.
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Sep 30, 2012 Thread starter #5 mpinga shetani said: Huyu ndiye asiyefaa kabisa kuigiza kama James Bond Click to expand... Mbona ni muigizaji mzuri sana...toka lini hafai kuigiza? Anyway wazungu wanajuana wenyewe bwana.
mpinga shetani said: Huyu ndiye asiyefaa kabisa kuigiza kama James Bond Click to expand... Mbona ni muigizaji mzuri sana...toka lini hafai kuigiza? Anyway wazungu wanajuana wenyewe bwana.