ACT Wazalendo yafanya mabadiliko Madogo ya Katiba yake, Vyeo vipya vyaanzishwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imemteua Bonifasia Mapunda kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa chama hicho nafasi ambayo haikuwepo awali imepatikana baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho kufanya mabadiliko madogo ya Katiba ya chama

Naibu mwanasheria mkuu.png

Credit: Mwanahalisi Digital

Leo ni Njia ya Msalaba
 
Back
Top Bottom