ACT-Wazalendo kushinda uchaguzi mkuu Oktoba kama chama cha APC cha Nigeria

Mkuu hili la kuiondoa CCM madarakani nadhani umekurupuka.
Nyie pambaneni na walaghai kama CHADEMA na washirika wake ili mje muwe chama kikuu cha upinzani lakini suala la kuchukua nchi bado sana, Kwani Watanzania wengi bado wana imani kubwa na serikali ya chama cha mapinduzi.

Teeeeh teeeh teeeh,Msalani bwana hufai leo tena umeanza kumkana mwanao act msaliti?
 
Ivi huyu Mwl Kaijage hua ana matatizo gani wakuu kwa mnaomjua? Mbona naona mambo anayoyafanya hum yamekaa kikomedi sana, mbona anawachafulia wenzio chama sana? Ni chama chenye watu maarufu sana waliojipatia sifa ndani na nje ya nchi, Hata kama ni kukitangaza chama lakini sio hivi unavyoandika maana unaweza kuwavuruga wenzio muda si mrefu.Kutokana na tulivyoona uzinduzi wa chama ulivyokua humu unatakiwa kupost vitu vyenye kukitangaza chama kwa kiwango cha kustahili na sio hizi komedi unazofanya, unakiaibisha chama.

Alishaambiwa kuwa ukitaka kupewa nafasi ndani ya chama act lazima ujiondoe akili
 
walimu wengine bwana, Jammii forum enzi zile ili upost lazima uwe na modem, laptop, desktop, wireless internet au local area, mada zilikuwa za maana tangu watumia simu waijue wakiungiwa bando la mb 8 upuuzi wao na stress wanatumbukiza huku jamii forums
 
ACT Wazalendo au ACT Wazawa? Hivi vyama ni upuuzi mtupu? Upuuzi zaidi ya upuuzi uujuavyo, nasema ni upuuzi kuwa na chama kimoja chenye majina zaidi ya mawili
 
Ni mwendawazimu tu anayeweza kuwa na mawazo mfu kama hayo! yaani chama cha MTU mmoja ambaye ndiye mmiliki kishinde dola? hakika bange mbaya!
 
ACT msiwe na ndoto za mchana za kuota kuchukua dola mwaka huu jijengeeni wigo mkubalike kwa wananchi, tabia za watanzania kuhusiana na chaguzi ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama Nigeria na hata kenya. Watanzania watakusukuma na kujaa kwenye mikutano yako lakini hawajiandikishi kupiga kura.
 
chama cha act-wazalendo kinakwenda kushangaza dunia kwa kushinda uchaguzi mkuu oktoba 2015 kama cha apc cha nigeria.

Tayari chama cha act-wazalendo kimishatoa ilani yake ya uchaguzi kwa wananchi kama kilivyofanya chama cha apc. Kwani chama cha apc kilikuwa chama cha upinzani ambacho kimeshinda chama tawala cha pdp.

Kwani act-wazalendo ndio chama pekee kitakachokiondoa chama tawala ccm baada ya kushindwa kwa vyama vya cuf, chadema, nccr-mageuzi na n.k.

Hivyo tuendelee kuisoma ilani ya uchaguzi ya act-wazalendo kama wananchi wa nigeria walivyoisoma ilani ya chama cha apc.

ndoto ya ucku mkubwa
 
Mkuu hili la kuiondoa CCM madarakani nadhani umekurupuka.
Nyie pambaneni na walaghai kama CHADEMA na washirika wake ili mje muwe chama kikuu cha upinzani lakini suala la kuchukua nchi bado sana, Kwani Watanzania wengi bado wana imani kubwa na serikali ya chama cha mapinduzi.

Hahahajahaha Musaalani umewageuka Leo.
 
Back
Top Bottom