TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
- Thread starter
- #21
Na kweli aisee.Yes,Ni uamuzi mzuri,huwezi kufanya kazi kwa MCHAGGA Ukatoka.Ni UBEPARI(UBWANYENYE) VS UTUMWA.Gooood !
Kesho tutasikia kuwa Nyumbani kwa Mbowe hali ni mbaya kwani House girl wake amehamia ACT hivyo hakuna mtu wa kuosha vyombo na kupiga deki.
Teh! teh! teh! theeeeee!!!!!!!! Wacha ni cheke miye kijukuu cha Sambai maana siasa imevamiwa.
Yes,Ni uamuzi mzuri,huwezi kufanya kazi kwa MCHAGGA Ukatoka.Ni UBEPARI(UBWANYENYE) VS UTUMWA.Gooood !
Umeshtushwa mpaka kusoma mada yote huwezi, kuwa na moyo mgumu soma yote ujue kwa nini nimesema ACT imelibomoa hilo gazeti.
Hahahaa, acheni kutapatapa. Abdallah Kahamis amekwenda kuwa kama alivyo Tumaini Makene pale CHADEMA, patamu hapo.
Inferiority complex. Umefikia hatua hii ya kujishuku? Pole sana.
Kusoma hujui? Hivi kwanini wanachadema wengi ni mazwazwa kiasi hiki.
Ushabiki kweli haufai, sasa ww unavyoonge utafikiri huyu mwandishi ndio alilianzisha hili Gazeti, na hata alilianzisha lakini si kuna kufa? Angekufa ungesemaje? Nikuulize swali, je mgunduzi wa Meli bado anaishi? Na kama kafa je Meli hazitengezwi tena?