Mwl. Kaijage
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 216
- 214
Je unaijua Mboweism
Huu ni ugonjwa mpya wa wanasiasa kuogopa uchaguzi kwa hofu ya kupoteza nafasi zao.
Limbu aliambukizwa ugonjwa huu na Kada wa chadema Bw Saidi Kubenea.
Dalili za Ugonjwa huu wa Mboweism ni kwa kiongozi kukimbilia kuwafukuza washindani wake kisiasa
Pia kupenda kupita bila kupingwa ili kuwa kiongozi wa juu wa chama.
Dalili nyingine ni kutofuata Katiba na kanuni za chama.
Tiba ya ugonjwa huu ni kwa wanachama kutorudi nyuma katika kusimamia katiba na kuhakikisha kiongozi anapatikana kwa kupigiwa kura na si kupewa ushindi wa mezani.
Uchaguzi wa kidemokrasia ndio hitimisho la ugongwa wa Mboweism.
Pia ugonjwa huu una kinga............