ACT-Tanzania: Hakuna viongozi waliosimamishwa uongozi wala kukaripiwa

kailakarama

Member
Aug 30, 2014
73
30
ACT-TANZANIA

ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY

TAARIFA KWA UMMA.

IMERIPOTIWA LEO KUPITIA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KATIKA KILE KINACHOTAJWA NI MGOGORO WA KISIASA NDANI YA CHAMA KATI YA WANAOJIITA WAASISI WA CHAMA NA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA NA KUPELEKEA KUTOA TAMKO LA KUMSIMAMISHA KATIBU MKUU NA MUHASIBU WA CHAMA.

IFAHAMIKE KWAMBA BAADA YA CHAMA KUPATA USAJILI KIMEFANYA VIKAO VYA KAMATI KUU VITATU NA PIA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU KIMOJA VIKAO VYOTE HIVYO VIMEJADILI MIKAKATI NA MAENDELEO YA CHAMA HAKUNA KIKAO KILICHOJADILI MGOGORO NDANI YA CHAMA KWA SABABU HAKUNA MGOGORO.

HIVYO BASI KATIBU MKUU NA MUHASIBU HAWAJASIMAMISHWA NA KIKAO CHOCHOTE CHA CHAMA.

KUHUSU NDUGU LEOPOLD MAHONA AMBAYE NI NAIBU KATIBU MKUU BARA NA GREYSON NYAKARUNGU AMBAYE NI MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA KUENDESHA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI.
MKUTANO HUO HAUKUWA NA BARAKA ZA CHAMA LAKINI KWA KUWA ACT TANZANIA TUNAAMINI KATIKA DEMOKRASIA MALALAMIKO YAO TUMEYAPOKEA NA TAMKO LAO TUNALO TUTALIWASILISHA KTK VIKAO VYA CHAMA NA TUNAAMINI VIKAO VYA CHAMA VITATOA MAELEKEZO BORA YENYE KUKIIMARISHA CHAMA NA KUONGEZA MSHIKAMANO NDANI YA CHAMA.

KWA SASA KATIBU MKUU NA KATIBU WA FEDHA NA RASILIMALI WANAENDELEA NA MAJUKUMU YA UJENZI WA CHAMA HASA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA PROGRAM ZA CHAMA ZILIZOPITISHWA NA KIKAO CHA KAMATI KUU HIVI KARIBUNI.

AIDHA MAMBO YOTE YANAYOLALAMIKIWA YAMEPITISHWA NA VIKAO HALALI VYA CHAMA NA MIHUTAASARI IPO OFISINI KWA KATIBU MKUU HIVYO BASI TUNAWATAKA VIONGOZI WA MATAWI,KATA,MAJIMBO,MIKOA NA WANACHAMA WOTE KUWA WATULIVU NA KUENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MPANGO MKAKATI WA KUKIPATIA MAFANIKIO CHAMA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,VIJIJI NA VITONGOJI.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.

IMETOLEWA NA IDARA YA MAWASILIANO NA UENEZI TAIFA
LEO TAR12/Nov/2012.

KARAMA KAILA
AFISA MAWASILIANO NA UENEZI TAIFA.
0789 289 399
0718 388 888.
 
Na bado mtakanusha sana
 
Mtawekaje mihtasari ndani ya ofisi ya kiongozi anayetuhumiwa kuandaa katiba nyingine nje ya Katiba ya chama, Kiongozi mbadhirifu wa fedha za chama? Hamuoni kwamba kuna migongano ya kimaslahi hapo?

Anyway sisi tunachochea tu msituone wabaya Chama cha Wasaliti Mnaosalitiana ninyi kwa ninyi

BACK TANGANYIKA
 
ACT-TANZANIA

ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY

TAARIFA KWA UMMA.

IMERIPOTIWA LEO KUPITIA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KATIKA KILE KINACHOTAJWA NI MGOGORO WA KISIASA NDANI YA CHAMA KATI YA WANAOJIITA WAASISI WA CHAMA NA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA NA KUPELEKEA KUTOA TAMKO LA KUMSIMAMISHA KATIBU MKUU NA MUHASIBU WA CHAMA.

IFAHAMIKE KWAMBA BAADA YA CHAMA KUPATA USAJILI KIMEFANYA VIKAO VYA KAMATI KUU VITATU NA PIA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU KIMOJA VIKAO VYOTE HIVYO VIMEJADILI MIKAKATI NA MAENDELEO YA CHAMA HAKUNA KIKAO KILICHOJADILI MGOGORO NDANI YA CHAMA KWA SABABU HAKUNA MGOGORO.

HIVYO BASI KATIBU MKUU NA MUHASIBU HAWAJASIMAMISHWA NA KIKAO CHOCHOTE CHA CHAMA.

KUHUSU NDUGU LEOPOLD MAHONA AMBAYE NI NAIBU KATIBU MKUU BARA NA GREYSON NYAKARUNGU AMBAYE NI MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA KUENDESHA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI.
MKUTANO HUO HAUKUWA NA BARAKA ZA CHAMA LAKINI KWA KUWA ACT TANZANIA TUNAAMINI KATIKA DEMOKRASIA MALALAMIKO YAO TUMEYAPOKEA NA TAMKO LAO TUNALO TUTALIWASILISHA KTK VIKAO VYA CHAMA NA TUNAAMINI VIKAO VYA CHAMA VITATOA MAELEKEZO BORA YENYE KUKIIMARISHA CHAMA NA KUONGEZA MSHIKAMANO NDANI YA CHAMA.

KWA SASA KATIBU MKUU NA KATIBU WA FEDHA NA RASILIMALI WANAENDELEA NA MAJUKUMU YA UJENZI WA CHAMA HASA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA PROGRAM ZA CHAMA ZILIZOPITISHWA NA KIKAO CHA KAMATI KUU HIVI KARIBUNI.

AIDHA MAMBO YOTE YANAYOLALAMIKIWA YAMEPITISHWA NA VIKAO HALALI VYA CHAMA NA MIHUTAASARI IPO OFISINI KWA KATIBU MKUU HIVYO BASI TUNAWATAKA VIONGOZI WA MATAWI,KATA,MAJIMBO,MIKOA NA WANACHAMA WOTE KUWA WATULIVU NA KUENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MPANGO MKAKATI WA KUKIPATIA MAFANIKIO CHAMA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,VIJIJI NA VITONGOJI.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.

IMETOLEWA NA IDARA YA MAWASILIANO NA UENEZI TAIFA
LEO TAR12/Nov/2012.

KARAMA KAILA
AFISA MAWASILIANO NA UENEZI TAIFA.
0789 289 399
0718 388 888.

Mbona hujazungumzia wahisana na wafadhili wenu wa chama yaani ccm kukatisha misaada yaki fedha.
 
Mwandishi hiyo tarehe ni sawa au umekosea?
 
Nimekumbuka wimbo wa zamani unaoitwa ntoke vip wa bwana misosi! Kwa hiyo ndo swaga la kutokea hilo? Hakuna msaliti aliefanikiwa kamwe

ACT ni chama cha kidemokrasia sana. Ingekuwa Chadema wangeshafukuzana kwenye chama
 
Kitila na,Mwigamba eti walikuwa wanalalamikia kunyofolewa kwa kipengere katika katiba ya Chadema!!!!! leo wanarudia makosa waliowatuhumu wengine. Fukuza hao wachumia tumbo!
 
Huyu mwandishi ana level gani ya shule? Mbona post nzima herufi kubwa? Inaonekana kakopi andishi la 2012. Hiki ndo chama cha Zitto na prof. Kitila? Yetu macho.
 
ACT-TANZANIA

ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY

TAARIFA KWA UMMA.

IMERIPOTIWA LEO KUPITIA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KATIKA KILE KINACHOTAJWA NI MGOGORO WA KISIASA NDANI YA CHAMA KATI YA WANAOJIITA WAASISI WA CHAMA NA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA NA KUPELEKEA KUTOA TAMKO LA KUMSIMAMISHA KATIBU MKUU NA MUHASIBU WA CHAMA.

IFAHAMIKE KWAMBA BAADA YA CHAMA KUPATA USAJILI KIMEFANYA VIKAO VYA KAMATI KUU VITATU NA PIA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU KIMOJA VIKAO VYOTE HIVYO VIMEJADILI MIKAKATI NA MAENDELEO YA CHAMA HAKUNA KIKAO KILICHOJADILI MGOGORO NDANI YA CHAMA KWA SABABU HAKUNA MGOGORO.

HIVYO BASI KATIBU MKUU NA MUHASIBU HAWAJASIMAMISHWA NA KIKAO CHOCHOTE CHA CHAMA.

KUHUSU NDUGU LEOPOLD MAHONA AMBAYE NI NAIBU KATIBU MKUU BARA NA GREYSON NYAKARUNGU AMBAYE NI MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA KUENDESHA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI.
MKUTANO HUO HAUKUWA NA BARAKA ZA CHAMA LAKINI KWA KUWA ACT TANZANIA TUNAAMINI KATIKA DEMOKRASIA MALALAMIKO YAO TUMEYAPOKEA NA TAMKO LAO TUNALO TUTALIWASILISHA KTK VIKAO VYA CHAMA NA TUNAAMINI VIKAO VYA CHAMA VITATOA MAELEKEZO BORA YENYE KUKIIMARISHA CHAMA NA KUONGEZA MSHIKAMANO NDANI YA CHAMA.

KWA SASA KATIBU MKUU NA KATIBU WA FEDHA NA RASILIMALI WANAENDELEA NA MAJUKUMU YA UJENZI WA CHAMA HASA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA PROGRAM ZA CHAMA ZILIZOPITISHWA NA KIKAO CHA KAMATI KUU HIVI KARIBUNI.

AIDHA MAMBO YOTE YANAYOLALAMIKIWA YAMEPITISHWA NA VIKAO HALALI VYA CHAMA NA MIHUTAASARI IPO OFISINI KWA KATIBU MKUU HIVYO BASI TUNAWATAKA VIONGOZI WA MATAWI,KATA,MAJIMBO,MIKOA NA WANACHAMA WOTE KUWA WATULIVU NA KUENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MPANGO MKAKATI WA KUKIPATIA MAFANIKIO CHAMA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,VIJIJI NA VITONGOJI.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA LEO NA KESHO.

IMETOLEWA NA IDARA YA MAWASILIANO NA UENEZI TAIFA
LEO TAR12/Nov/2012.

KARAMA KAILA
AFISA MAWASILIANO NA UENEZI TAIFA.
0789 289 399
0718 388 888.
Allience for Cowards Tanzania.
 
Back
Top Bottom