Acheni siasa za mpira, ukubwa wa Mamelod ni upi?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Ukubwa wa mamelod ni upi?

Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa?

Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku?

Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au?

Mamelodi kazidiwa mafanikio na
Al ahly
Wydad
Exparence
Tp Mazembe

Mamelodi level zake ni Simba, CR Belousdad na Raja

Acheni kuwapaisha kwangu Mimi timu bora Africa itabaki kuwa al ahly

Mamelodi watanyooshwa na yanga hapa msije kuwakataa tu wanapaishwa utafikiri ni Real Madrid Fulani hivi kumbe ni PSG aliyechangamka kwenye champions ligue.

Naamini kabisa kuna wachezaji kibao wa simba na yanga wanaingia kwenye kikosi cha mamelodi yaani inonga akose namba mamelodi? Au Baka akose namba mamelodi ?

Nawaambia tutarudi hapa tarehe 30 usiku kwenye huu Uzi mamelodi akiwa kafa na akijichanganya anatoka.
 
Haya yalipaswa kuandikwa baada ya mechi, tusimtukane mamba kabla ya kuvuka mto.

Kinachosifiwa kwasasa sio Mamelod ni timu kubwa bali Mamelod ni timu bora kwasasa. Huyo Al Ahly katolewa na Mamelod kwenye AFL, na pia katika kundi lake alikuwa na vigogo waiwili( Tp Mazembe na Pyramids) na kaondoka kinara wa kundi. Kinachosifiwa ni ubora wao kwasasa
 
Ukubwa wa mamelod ni upi?

Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa?

Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku?

Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahaly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au?

Mamelodi kazidiwa mafanikio na
Al ahaly
Wydad
Exparence
Tp Mazembe

Mamelodi level zake ni Simba, CR Belousdad na Raja

Acheni kuwapaisha kwangu Mimi timu bora Africa itabaki kuwa al ahaly

Mamelodi watanyooshwa na yanga hapa msije kuwakataa tu wanapaishwa utafikiri ni Real Madrid Fulani hivi kumbe ni PSG aliyechangamka kwenye champions ligue.

Naamini kabisa kuna wachezaji kibao wa simba na yanga wanaingia kwenye kikosi cha mamelodi yaani inonga akose namba mamelodi? Au Baka akose namba mamelodi ?

Nawaambia tutarudi hapa tarehe 30 usiku kwenye huu Uzi mamelodi akiwa kafa na akijichanganya anatoka.
Mbona kama umepaniki
 
Haya yalipaswa kuandikwa baada ya mechi, tusimtukane mamba kabla ya kuvuka mto.

Kinachosifiwa kwasasa sio Mamelod ni timu kubwa bali Mamelod ni timu bora kwasasa. Huyo Al Ahly katolewa na Mamelod kwenye AFL, na pia katika kundi lake alikuwa na timu mbili za kubwa ( Tp Mazembe na Pyramids) na kaondoka kinara wa kundi. Kinachosifiwa na ubora wao kwasasa
Kuongoza kundi si anaongoza kila Sikh toka 2017 mbona uwa haendi popote?

Al ahly kufungwa sio sababu ya mamelodi kuwa mkubwa hata ulaya timu kama macity na real Madrid wanafungwa na timu za kawaida tu me naongelea go ukubwa toka 2016 mpaka Leo wako wapi?

Tunawapima kwa AFL kombe la timu 8 tu?
Kwangu Mimi nitawapa credit wakichukua tena champion ligue mwaka huu!! Maana miaka 9 imepita sasa toka wachukue
 
Mpira ni kitu cha ajabu sana ndo maana mimi naupenda

Ukisema mamelodi si mkubwa tunarudi kwa yanga
Yanga ana ukubwa gani

Mara ya kwanza yanga anafika robo fainali ni msimu huu

Yanga amefuzu kwa point chache zaidi kwenye msimu huu wa mashindano

Unafikiri kama wewe huwaheshimu wakubwa waliowahi kuchukua ubingwa wa haya mashindano
Unahisi mamelodi ana haki gani ya kukuheshimu

Mpira hauangaliwi historia

Tungeangalia historia basi hata wydad
casablanca hakutakiwa atoke ila katoka

Wanaangalia current form

Na kwa current form mamelodi ni wako on fire
Hata hao petro sidhani kama wamewahi kubeba ubingwa ila wanaheshimika kwa sababu ya current form
Usichukie watu wanapokutisha mamelodi ni wamoto

Ni kwa sababu ni wamoto kweli kweli

Umeona difference ya points kwenye ligi yao?

Kutulazimisha utampasua ni kama umechamganyikiwa
Nakusubiri uje na hasira zako maana uzi kama umekurupuka hivi kuuanzisha😁
 
Haya yalipaswa kuandikwa baada ya mechi, tusimtukane mamba kabla ya kuvuka mto.

Kinachosifiwa kwasasa sio Mamelod ni timu kubwa bali Mamelod ni timu bora kwasasa. Huyo Al Ahly katolewa na Mamelod kwenye AFL, na pia katika kundi lake alikuwa na timu mbili kubwa ( Tp Mazembe na Pyramids) na kaondoka kinara wa kundi. Kinachosifiwa na ubora wao kwasasa
Ni kama Manchester City, sio timu kubwa ila kwa ubora wao sasa ukienda bila kujipanga wanakupiga na kitu kizito
 
Kuongoza kundi si anaongoza kila Sikh toka 2017 mbona uwa haendi popote?

Al ahly kufungwa sio sababu ya mamelodi kuwa mkubwa hata ulaya timu kama macity na real Madrid wanafungwa na timu za kawaida tu me naongelea go ukubwa toka 2016 mpaka Leo wako wapi?

Tunawapima kwa AFL kombe la timu 8 tu?
Kwangu Mimi nitawapa credit wakichukua tena champion ligue mwaka huu!! Maana miaka 9 imepita sasa toka wachukue
Achana na habari ya ukubwa, mimi naongelea ishu ya ubora. Ukubwa na ubora ni vitu viwili tofauti, Al Ahly ni timu kubwa ila katolewa na Mamelod kwavile Mamelod wamekuwa ni bora kuliko hiyo timu kubwa. Wydad ni timu kubwa ila sio timu bora kwasasa. Umeelewa ubora vs ukubwa? Mamelod ni timu bora kwasasa kwa ukanda wa Africa
 
Back
Top Bottom