Salanga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 364
- 44
..and you couldn't have PM'ed her?
Tap ,mpaka sasa ,nimewagundua wawili wanajijua.
..and you couldn't have PM'ed her?
Kwani kaskazini ni wapi mwanza Bukoba Arusha tanga!
wanaolinda ajira kwa style hiyo mi nawachukia balaa, afadhali ya wambea kwa sababu,Kila mu ana namna yake ya ku protect ajira yake. Kuna wengine wanachapa kazi sana, wengine wanawahi sana kazini, wengine wanazingatia perfection, wengine wanatoa rushwa ya pesa, wengine wanatoa rushwa ya ngono, wengine wanaongeza elimu ili mradi tu kulinda kibarua. Ila kuna wengine wao wana protect vibarua vyao kwa kupiga majungu, kupeleka umbea kwa boss, kusengenya wenzao waonekane wabaya. This is soooooooooooooooooooooo BAD. Kuna baadhi ya makabila ni wazuri sana kwenye hili sitatja kabila ila wapo kama huku kanda ya kaskazini kuna kabila fulani bana ukifanya nao kazi aaaaaaaaaaah wao ni UNAFIKI KWA KWENDA MBELE. I HATE THEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEM.

Hao wa Kaskazini unaosema si makazini tuu, hata humu JF si unawaona wanavyoongea kuhusu watu na mawazo (ideas)? Na hata walio kwenye siasa si unaona sijui fulani hivi fulani vile. Yaani, mnhhh wee wacha tu, hawana zaidi majungu na fitina. Pole sana kwa kukumbana nao kazini.

wanaolinda ajira kwa style hiyo mi nawachukia balaa, afadhali ya wambea kwa sababu,

1. ndo sababu inayofanya maambukizi ya ukimwi yasiishe

2. wtu kuvunja ndoa zao

3. watu kudharau ushauri na nasaha za ndugu zao

4. kazi kutofanyika kwa ufanisi

5. watu kuajiri wasio na sifa

6. majukumu mengi kufanywa kizembe kwa kutohofia kufukuzwa kazi

7..............................

8........................

9......................

10.............................