Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Acheni majungu makazini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NOT ENOUGH, Sep 1, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kila mu ana namna yake ya ku protect ajira yake. Kuna wengine wanachapa kazi sana, wengine wanawahi sana kazini, wengine wanazingatia perfection, wengine wanatoa rushwa ya pesa, wengine wanatoa rushwa ya ngono, wengine wanaongeza elimu ili mradi tu kulinda kibarua. Ila kuna wengine wao wana protect vibarua vyao kwa kupiga majungu, kupeleka umbea kwa boss, kusengenya wenzao waonekane wabaya. This is soooooooooooooooooooooo BAD. Kuna baadhi ya makabila ni wazuri sana kwenye hili sitatja kabila ila wapo kama huku kanda ya kaskazini kuna kabila fulani bana ukifanya nao kazi aaaaaaaaaaah wao ni UNAFIKI KWA KWENDA MBELE. I HATE THEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEM.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,199
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  naona leo umeamua
   
 3. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nawachapa DOZI tu najuwa hata humu wamo wengi tu
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 11,103
  Likes Received: 1,085
  Trophy Points: 280
  Baiolojia yangu yanituma... nikuone nawe kama umelewa
   
 5. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 718
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  ...afadhali hao wanaotoa rushwa ya ngono na pesa..
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Majungu ni sehemu ya maisha ya kila siku makazini dear
   
 7. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Serikalini ndio kuna majungu ya kufa mtu...kazi hazifanyiki mtu unapeleka jalada ghorofa ya 7 unasimama ghorofa ya 3 kupiga umbea, tukisisitiza matumizi ya email mnatuita .com mwe!
   
 8. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 8,457
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 63,938
  Likes Received: 14,054
  Trophy Points: 280
  Hata hapa JF wapika majunungu, wapakuaji, na walaji wemejaa tele.
   
 10. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,396
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Not enough jamani thikukuu na madongo mazito pilau itakwama watu kooni ati...
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,413
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Off topic, avatar once again, sorry!! :)

  Amyner, that shade, that lipstick, that paint, that woteva is on ya lips you may call ain't really sexy as it suggests above! Looks kinda an accident... lips accidentally coming onto contact with a cheeta's arse!! I know the likelihood of this is rare but can't figure wot else could resemble that... :A S 109:
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 63,938
  Likes Received: 14,054
  Trophy Points: 280
  ..and you couldn't have PM'ed her?
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,413
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  At times, pms are a hassle!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Sep 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 63,938
  Likes Received: 14,054
  Trophy Points: 280
  How so?
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,413
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  When you feel like commenting within a thread!
   
 16. kisukari

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  nimecheka kwa ujumbe wako.ninachokupendea you are so real,ingawa kwa uliyoyasema sijui kama ni ya kweli au si ya kweli
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,657
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160

  kwani wewe unafanya kazi na wehehe??
   
 18. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,619
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Yeye kasema wambea wake wapo kanda ya kaskazin.wahehe wapo kanda ya kaskazin?
   
 19. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,191
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Kwani kaskazini ni wapi mwanza Bukoba Arusha tanga
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,191
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Kwani kaskazini ni wapi mwanza Bukoba Arusha tanga!
   
Loading...