Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 338
- 652
Jana wakati napitapita zangu YouTube nikisikiliza mawaidha ya Dr Zakir Naik, I stepped on this little piece information kutoka kwa bingwa mwenyew.
Huyu jamaa kweny video hapo chini nadhani waislamu wengi watakuwa wanamjua, ni bingwa wa kuwasilimisha wakristo, anasifika duniani kote na waislamu kwa kubeba hoja nzito za kiislamu.
Waingereza husema "He is a force to be reckoned with"
View: https://youtu.be/vb2NmDNg6nU?si=hGHDB5R-Y6gu2yN9
Bingwa bhana anasema masterbation(nyeto) sio dhambi na sio haram, bali ni makrooh, maana yake ni nn? Maana yake ni kwamba masterbation(nyeto) sio dhambi bali ni kitendo ambacho haipendez kukifanya ila hata kama utafanya(masterbation) hutapata punishment yeyote, kwamba In islam masterbation is only discouraged but its not sin.
Kwa mujibu wa bingwa amesema njia nzuri yaku-avoid masterbation ni kufunga(fasting), hii inasaidia mwili na akili kukaa sawa na husaidia kupunguza sexual desires(nyege), I myself agree with him, kufunga ni moja ya njia nzuri sana ya kufanya mwili ukae sawa na kuimarisha afya yako.
Bingwa bhana kanishtua sana cause sikuwa na hii information, daaah waislamu mna raha sana mna nyetuka alaf hampati dhambi wala nn.