According to Islam, masterbation si dhambi

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Oct 11, 2023
338
652
Jana wakati napitapita zangu YouTube nikisikiliza mawaidha ya Dr Zakir Naik, I stepped on this little piece information kutoka kwa bingwa mwenyew.

Huyu jamaa kweny video hapo chini nadhani waislamu wengi watakuwa wanamjua, ni bingwa wa kuwasilimisha wakristo, anasifika duniani kote na waislamu kwa kubeba hoja nzito za kiislamu.
Waingereza husema "He is a force to be reckoned with"

View: https://youtu.be/vb2NmDNg6nU?si=hGHDB5R-Y6gu2yN9

Bingwa bhana anasema masterbation(nyeto) sio dhambi na sio haram, bali ni makrooh, maana yake ni nn? Maana yake ni kwamba masterbation(nyeto) sio dhambi bali ni kitendo ambacho haipendez kukifanya ila hata kama utafanya(masterbation) hutapata punishment yeyote, kwamba In islam masterbation is only discouraged but its not sin.

Kwa mujibu wa bingwa amesema njia nzuri yaku-avoid masterbation ni kufunga(fasting), hii inasaidia mwili na akili kukaa sawa na husaidia kupunguza sexual desires(nyege), I myself agree with him, kufunga ni moja ya njia nzuri sana ya kufanya mwili ukae sawa na kuimarisha afya yako.

Bingwa bhana kanishtua sana cause sikuwa na hii information, daaah waislamu mna raha sana mna nyetuka alaf hampati dhambi wala nn.
 
Sasa kama ni kitendo kisichopendeza kwanini ufanye,
Umejaribu kuangalia faida na madhara yake, kitu chenye madhara mengi kuliko faida, si ruhusa kukifanya kwenye dini.

Tushanyetuka saana, lakini ukweli uko pale pale, kujichukulia sheria mkononi dhambi, mie nikizidiwa nitanyetuka, lakini haimaanishi kuwa ni tendo halali.
 
Buddha amekataza masturbation.
Fasten your seat belt.
Buddha amekata masturbation. Anasema ukitoa manii ni kosa.
Anasema there are 10 kinds of sperm.
1.Blue sperm
2.Red sperm
3..Yellow sperm
4.White sperm
5.Sperm the colour of whey
6. Sperm the coluor of oil
7. Sperm the colour of water
8. Sperm the colour of milk
9. Sperm the colour of curd.
10. Sperm the colour of ghee.
Budha anasema zipo sababu kumi kwa nini watu wanatoa sperms
1. For the purpose of health[kama navyosema huyo Sheikh]
2. For the purpose of pleasure
3.For the purpose of medicine
4.For the purpose of a gift[maybe you want to give a gift to insects]
5. For the purpose of merit
6.For the purpose of sacrifice
7. For the purpose of heaven
8.For the purpose of seed[to breed children]
9.For the purpose of investigation[yaani you want to know what colour it will be]
10. For the purpose of fun.
Halafu Buddha anasema zipo sababu nne ambazo zinafanya organ inakuwa workable.
1. From lust
2. From excess faeces
3.From excess urine
4. From wind
5. From the bite of a caterpillar[caterpillar,washawasha akikung'ata organ inaweza kuwa workable]
Halafu Buddha anasema zipo njia nne ambazo zinawez kutumika na masturbator kutoa manii
1. Through his own body
2. Through the body of another
3. Through one's body and an external object
4. Though shaking the pelvis in the air

Kwa hiyo hapo tunaweza kutoa mfano,

Through one's body,the organ stiff with lust,one emits blue semen.
 
FB_IMG_16998210038893780.jpg
 
Ideal battlefield kwa wazee wa nyeti🫡🍹
 
Attachments

  • 20231114_113407.jpg
    20231114_113407.jpg
    38 KB · Views: 1
Jana wakati napitapita zangu YouTube nikisikiliza mawaidha ya Dr Zakir Naik, I stepped on this little piece information kutoka kwa bingwa mwenyew.

Huyu jamaa kweny video hapo chini nadhani waislamu wengi watakuwa wanamjua, ni bingwa wa kuwasilimisha wakristo, anasifika duniani kote na waislamu kwa kubeba hoja nzito za kiislamu.
Waingereza husema "He is a force to be reckoned with"

View: https://youtu.be/vb2NmDNg6nU?si=hGHDB5R-Y6gu2yN9

Bingwa bhana anasema masterbation(nyeto) sio dhambi na sio haram, bali ni makrooh, maana yake ni nn? Maana yake ni kwamba masterbation(nyeto) sio dhambi bali ni kitendo ambacho haipendez kukifanya ila hata kama utafanya(masterbation) hutapata punishment yeyote, kwamba In islam masterbation is only discouraged but its not sin.

Kwa mujibu wa bingwa amesema njia nzuri yaku-avoid masterbation ni kufunga(fasting), hii inasaidia mwili na akili kukaa sawa na husaidia kupunguza sexual desires(nyege), I myself agree with him, kufunga ni moja ya njia nzuri sana ya kufanya mwili ukae sawa na kuimarisha afya yako.

Bingwa bhana kanishtua sana cause sikuwa na hii information, daaah waislamu mna raha sana mna nyetuka alaf hampati dhambi wala nn.

Naona mafundisho ya kiisilamu yamejaa ngono na wanawake.
 
Hata bangi, miraa ni makrou hatari sana
Sijaona mwanazuoni mkubwa hata mmoja aliye halalisha bangi labda mawazo hayo kama umeyatoa kwa Maghayo and his vicious barbaric gang.

Waumini wa kiislamu wanatakiwa walinde afya zao za kimwili na kiakili kwa nguvu kubwa na vitu vyote vinavyoharibu afya ya muumini inakuwa haramu kwake ,sasa vitu ulivyotaja madhara yake yapo wazi kabisa hayajajificha na haiitajii mpaka daktari bingwa aseme , hata humu Jf chunguza akili ya Maghayo na genge lake utapata majibu.
 
Back
Top Bottom