M Mpigaji JF-Expert Member Feb 6, 2011 384 42 Oct 27, 2012 #1 Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze,
NingaR JF-Expert Member Apr 15, 2012 2,759 590 Oct 27, 2012 #2 mkuu UDOM hostels za kumwaga hadi vyumba vinabaki wazi.
tatanyengo JF-Expert Member Mar 30, 2011 1,134 280 Oct 27, 2012 #3 Mpigaji said: Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze, Click to expand... Ulishawahi kufika ukakoswa sehemu ya kuishi? Huko makao ni mengi ya kumwaga.
Mpigaji said: Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze, Click to expand... Ulishawahi kufika ukakoswa sehemu ya kuishi? Huko makao ni mengi ya kumwaga.
B BARAHUKWA Member Oct 26, 2012 5 0 Oct 27, 2012 #4 Udom vyumba vimejaa tatzo hujaspecify college unakoenda.km ni COED block S ipo kwa ajili yako