Access Bank Calls...

john8719

Member
Jul 27, 2011
10
0
Habari zenu wana JF, kwa wale waliofanya written interview pale Access Bank siku ya jumamosi tar 24/03, vipi wameshaanza kupiga simu kwenda kwenye second interview?.
 
Mie nilikuwa group la pili kufanya interview, wakasema kuanzia j3 yaan leo watawapgia watu simu.
 
kama ni nafasi za loan officers....mmmmh! mtapita hiyo interview but mtakuwa surprised kwenye information session karibu nusu hawatopenda kuendelea na hao jamaaa. nendeni mkashuhudie wenyewe sitaki maswali.
 
Access wana matatizo si bure, haiwezekani wawe wanaajiri kila siku...
 
Inawezekana hawa jamaa ofisi zao zinatanuka kwani kasi yao ya kuajiri ni kubwa mno.
 
acces bank na barclays bank hapafai kufanya kaz ya loan oficer ni nouma, barclays nliacha hawafai.
 
accessbank hapafai nilikua hapo kama loan officer nakaacha. mshahara mdogo kazi kubwa, hawajali wafanyakazi kabisa. ndio maana kila wakati wanatangaza nafasi kwani wengi wanaingia na kutoka mara moja baada ya kuona mazingira ya kazi.
 
Inawezekana hawa jamaa ofisi zao zinatanuka kwani kasi yao ya kuajiri ni kubwa mno.

jibu hili hapa chini!
accessbank hapafai nilikua hapo kama loan officer nakaacha. mshahara mdogo kazi kubwa, hawajali wafanyakazi kabisa. ndio maana kila wakati wanatangaza nafasi kwani wengi wanaingia na kutoka mara moja baada ya kuona mazingira ya kazi.
 
Mhh kwani loan officer ndo unatafuta loan seakers?tusaidiane maana nimeapply somewhere as loan officer nijue km ndo kuungua juani wakuu
 
mkuu ni jukumu la loan officer kutafuta wateja mwenyewe.ingawaje zipo bank na taasisi chache ambazo wateja hawatafutwi na afisa.na mara nyingi ni mikopo ya wafanyakzi.lakini ya wafanya biashara ni juu yako afisa
 
Mhh kwani loan officer ndo unatafuta loan seakers?tusaidiane maana nimeapply somewhere as loan officer nijue km ndo kuungua juani wakuu

loan officer inategemea na Bank, bank kama NMB, CRDB utakuwa unakula kiyoyozi i.e wateja wanajileta wenyewe ila kwenye hizo bank kajamba nani kama Access,Barclays,Habib, dar community utazurura na jua kali hadi soli ya viatu vitatoboka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom