AC Milan vs Man UTD...

Four down..and the Big four to go..Bayern Muchen...Porto....Gooners...Red Devils....waiting for the other Big ones next week..pia tutakaribisha utabiri wa draw za robo zitakavyokuwa..zingatia kigezo kuwa waliowahi kushinda hili kombe hawezi kuchukuliwa pamoja ili kuleta ladha ya mashindano...

Rooneeeeey... mpaka wamkubali! Lile bichwa ni NOOOOOMMAAA!
 
huyu mtu anayejiita GANG CHOMBA alikuwa anaongea sana,nikamwambia tukutane baada ya mechi sijui yuko wapi?MILAN timu ishakufa siku nyingi unakaa kubisha bila kuangalia ukweli,ona sasa aibu tupu,wamefungwa kirahisi sana,na mnabahati MAN UTD walikuwa tayari wanaongoza 1st leg,sasa una cha kusema tena GANG CHOMBA???
 
UWANJA - Sansiro
MAHALI - Milan
WATAZAMAJI - 85,700
ULIANZA KUJENGWA - 1925
KUFUNGULIWA RASMI - 19 SEP: 1926
BARABARA YA KUINGILIA - PICCOLONINI.

Siku chache zimebaki kabla ulimwengu kushuhudia tena mtanange ambao miaka kadhaa iliyopita tulishuhudia timu moja ikitupwa nje ya mashindano na nyingine kupeta kama ilivyo ada.

Huu ni mpambano kati ya AC Milan na klabu ya Manchester UTD.
Mpambano huu unazidi kuvuta hisia za watu wengi ukizingatia kuwa Man UTD wanataka talaka yao kwa lazima ili wakaanzishe maisha mapya yasiyo na vipigo vya kila msimu, huku AC nao wakijipanga kuendeleza ubabe kwa wanyonge wao.

Leo niko hapa kwa ajili ya kuizungumizia timu yangu kipenzi AC Milan.
Milan kama Milan ilipoanza ligi ilionekana wazi kuwa isingemudu mikiki ya mashindano yoyote yale.

Lakini kuwa fit kwa wachezaji wake kulipelekea haraka kuaminiwa kuwa ni timu ambayo kwa msimu huu yaweza nyakuwa baadhi ya vikombe.

Hofu ya wapinzani wetu ilipanda maradufu pale AC walipotua ktk uwanja wa el Santiago Bernabeu na kuibuka na ushindi wa goli 3-2 dhidi ya timu iliyopewa nafasi ya kufanya vizuri kutokana na usajili waliofanya.

Hali hii imepelekea kuanzia kocha wa Man UTD mpk mshabiki aliye hapo Tanzania kujawa hofu huku wakiwa hawapati usingizi.

Milan ina wachezaji wenye vipaji kama uncle Seeldorf, pirlo, Beckham, Pato, nesta, Ambrosini, silva, dinho, Pippo na wengine weengi ambao mara kwa mara wamekuwa wakielewana sana wawapo uwanjani.

IVAN ''RHINO'' GENNARO GATTUSO...
huyu ni mtumishi wa klabu.
Mara kadhaa Gattuso amekuwa akiwashikisha adabu wachezaji wanaopambwa na sifa za mashabiki.
Siku hiyo Gattuso atakabidhiwa Rooney huku akipokea msaada toka kwa Beki bora wa kati Duniani Alesandro Nesta.

ANDREAS PIRLO...
hii ni Injini ya Milan.
Anasifika kwa kupoza mpira ili kuendana sawa na spidi ya Milan.
Ana pasi zenye akili na uwezo mkubwa wa kupiga mipira iliyokufa.

DAVID JOSEPH ROBERT BECKHAM...
Ttumemtaka asihangaike na kukaba siku hiyo. Bali amimine majalo yenye upako yatakayofika kwa Hitman Pato.

UNCLE SEERDOLF...
kila mtu anafahamu kuwa kadri siku zinapozidi kwenda, basi nae anazidi kuwa imara.
Kizazi chake amebaki kwenye Ramani yeye pmj na kipa Van Der Sir.

SUPER PIPPO...
Ktk washambuliaji ambao sir Alex anawachukia basi Inzaghi anaongoza.
Na kama atapewa muda wa kucheza ni wazi ukuta wa Man UTD utakuwa busy kwa kipindi choote mpk filimbi ya mwisho.

PATO & BORIELLO
Ni double snipers.
ni wauaji hatari na wenye mbinu kali.

RONALDO ''ASSIS'' de MOREIRRA...
sina cha kumzungumzia.
Ila nauliza je ni wachezaji wangapi wa Man UTD watakaojitolea kudhalilishwa na mchezaji huyu anayefananishwa kiuchezaji na wachezaji wa ligi za mbinguni?

FRANCO BARRESI, ALESANDRO COSTACURTA NA PAOLO MALDINI...
Hawa watakuwepo jukwaa kuu wakihamasisha.

Hakika Milan tuna kila sababu za ushindi, kwani tupo ktk ari na pia tuna uzoefu mkubwa ktk mashindano haya kuliko wapinzani wetu.

Milan imebeba kombe hili mara 7, wakati wagosi wao wana mara 3.

Forza Milan.

turns out to be load of brown stuff!!!
 
20100310
Red-hot Rooney routs Milan

Beckham return just a sideshow to Wayne's world

Last updated: 10th March 2010



Rooney: 30 for the season
Related links

Teams

Also see

Wayne Rooney reached 30 for the season as Manchester United booked their place in the UEFA Champions League quarter-finals with a thumping 4-0 victory over AC Milan.
The England international headed home Gary Neville's excellent cross from the right in the 13th minute to hand his side an early advantage and left Milan needing to score three times.
Milan had missed two good chances in the opening 10 minutes with Ronaldinho flashing a header narrowly wide before Klaas Jan Huntelaar failed to control Thiago Silva's great ball over the defence.
Red-hot Rooney put the result beyond doubt in the very first minute of the second half, applying a deft finish to Nani's superb pass from the left after Milan had gifted the ball to the flying winger.
Park Ji-Sung added a third in the 59th minute from Paul Scholes' deft ball, firing across Christian Abbiati, with Darren Fletcher's late header from Rafael's cross completing a resounding 7-2 aggregate success.
David Beckham's much-vaunted return to Old Trafford was rendered little more than a sideshow as he remained on the bench until the 64th minute, although one blistering volley from outside the area stung Edwin van der Sar's palms.
Soared

Rooney's two goals in the San Siro three weeks ago turned a tie on its head that appeared to be floating out of United's reach. His latest effort merely rammed another nail in Milan's coffin.
Neville was the provider for the first, curling over a right-wing cross his old friend Beckham would have been proud of.
Rooney soared between defenders and neatly glided the ball into the far corner.
It was his seventh header on the trot in a growing tally of goals that threatens the 42 which helped get Cristiano Ronaldo crowned as the world's best player two years ago and the same accolades could easily be being bestowed on Rooney next winter.
Much will depend on the respective success enjoyed by United and England of course. But their talisman could not be doing any more and his second arrived 54 seconds after the restart.
An outstanding pass, delivered from the left-wing with the outside of his right-foot by Nani, provided the opportunity. Abbiati gave the game away by dashing out. Rooney merely prodded it past him.
Having already become only the second player - after Walter Pandiani - to score home and away against Milan in a European tie, Rooney was creating some kind of history by doing it twice.

Beckham

It was the end of Rooney's contribution, although not United's scoring.
After hinting at retirement a few weeks ago, Scholes appears to be enjoying something of a renaissance and it was his brilliantly disguised pass that was clinically finished by Park as the gap between these two European heavyweights widened to a gulf.
As there was little else to do, Leonardo introduced Beckham.
His arrival for Ignazio Abate triggered a standing ovation. Had the midfielder's volley flashed past Van der Sar instead of being beaten away by the veteran Dutchman, it would probably have brought the biggest cheer of the night.
For all the adulation though, Beckham represents Manchester United's past.
Rooney is the future, which on the pitch - where Fletcher nodded home a fourth near the end - looks rosy, despite the continued vocal and visual protests against the Glazer family, whose willingness to plunge United into such massive debt has vexed so many.
In the stands, the members of the Glazer family who had made the trip from Tampa, would need pretty thick skins to remain unaffected by all the vicious taunts.
With Beckham opting to put a green and gold scarf round his neck as he made his way down the tunnel, the abuse is not going to be silenced any time soon.


Manchester United
Team StatisticsMilan
4
Goals0
1
1st Half Goals0
5
Shots on Target4
7
Shots off Target4
2
Blocked Shots2
5
Corners5
15
Fouls13
1
Offsides4
1
Yellow Cards2
0
Red Cards0
75.2
Passing Success85.5
18
Tackles9
72.2
Tackles Success66.7
41.1
Possession58.9
50.4
Territorial Advantage49.6
 
ManUtd 4 AC Milan 0



rooney_header_682x_1002685a.jpg








what a player,what a team!!!
 
Safari yangu sasa imeshawadia
Kurudi sansiro yanipasa naaga dunia

Mwili umenyong'onyea viungo vimelegea
Fahamu nishapoteza nimezingirwa na kiza

Milango yangu ya fahamu ishafungwa
Kamanda naupoteza uhai nalamba mchanga.

Umeshawadia wasaa
Pumzi nakata tamaa
Na Israel roho yangu ndo anaitwaa

Maandiko ya baaba sasa yashatimia
Na huko Italy sijui wapi ntafikia

Jama naomba mnisamehe maneno yote niliyosema
Ili nipate makazi mema huko nakokwenda

Kiroho niko nanyi kimwili siko tena
Fateni yale mema niliyo quote na kunena

Kwa huzuni nawaaga tena sirudi
Nasindikizwa na marashi ya ubani na udi

Kwenye kaburi mtanihifadhi
Na huko ndiko yangu milele makazi

Maombi yenu ndiyo yatayoniponya
Ili nxt season tuwe pamoja...

Buriani naaga maasela
barantanda na Belo maasela
AB-tichaz na Ole masela
Mzizi mkavu na tripo9 maasela
Mbebabox maasela
Kagoma kuwika na Mbu maasela
Ng'wanza madaso na wacha1 maasela
Mzee Mwanakijiji maasela

Alazwe pema peponi Gang Chomba
Alazwe pema peponi Gang Chomba
 
:?d

Hongereni:D
AC milam leo wametia aibu!
Ronaldinho na Seedorf wote wana vitambi sasa, duh!

Ustaadh, si unajua ushindi wa leo umenifanya niishiwe maneno ya ****** kama ya Gang Chomba so nacheka tuu. By the way hongereni kwa kuweka statement juzi.
 
Safari yangu sasa imeshawadia
Kurudi sansiro yanipasa naaga dunia

Mwili umenyong'onyea viungo vimelegea
Fahamu nishapoteza nimezingirwa na kiza

Milango yangu ya fahamu ishafungwa
Kamanda naupoteza uhai nalamba mchanga.

Umeshawadia wasaa
Pumzi nakata tamaa
Na Israel roho yangu ndo anaitwaa

Maandiko ya baaba sasa yashatimia
Na huko Italy sijui wapi ntafikia

Jama naomba mnisamehe maneno yote niliyosema
Ili nipate makazi mema huko nakokwenda

Kiroho niko nanyi kimwili siko tena
Fateni yale mema niliyo quote na kunena

Kwa huzuni nawaaga tena sirudi
Nasindikizwa na marashi ya ubani na udi

Kwenye kaburi mtanihifadhi
Na huko ndiko yangu milele makazi

Maombi yenu ndiyo yatayoniponya
Ili nxt season tuwe pamoja...

Buriani naaga maasela
barantanda na Belo maasela
AB-tichaz na Ole masela
Mzizi mkavu na tripo9 maasela
Mbebabox maasela
Kagoma kuwika na Mbu maasela
Ng'wanza madaso na wacha1 maasela
Mzee Mwanakijiji maasela

Alazwe pema peponi Gang Chomba
Alazwe pema peponi Gang Chomba

AC Milan wamefungwa kwa sababu yako. Nenda kwa sheikh Yahya akukasafishe nyota(maana anadai yeye pekee nchini ndio anaweza kusafisha nyota.) wewe jamaa ni gundu tupu kila timu unayoshabikia ni kichapo tu ukianzia na Yebo yebo a.k.a kandambili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom