Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

Namchukulia kama mpambanaji wa ufisadi asiyechoka wala kukata tamaa kama wenzake kina kibanda na kubenea ambao wamekata tamaa ya kupambana na ufisadi pamoja na mafisadi na kuamua kujiunga nao!pamoja na vizingiti na hujuma kibao za ndani ya chama chake dhidi ya vita ya ufisadi bado kasimama kwenye mstari licha ya kupewa uwaziri ili kumnyamazisha lakini hanyamazi,umewahi kumuona mtanzania wa aina hiyo hivi karibuni?kuna watu hapa wamenunuliwa corolla tu mnaona walivyobadilika!

Eeeh hapa ndo haswa nilikuwa napasubiri, sasa endelea mkuu mi ukiacha mnafiki kibanda wengine walionunuliwa corolla na kuchange!
 
Sasa na wewe usiyejuwa maana ya Reputation power tukuiteje? zuzu! zezeta au ngumbaru? huwezi kumfikia Absalom Kibanda kwa lolote lile kapuku wewe.

sidhani kama upo sawa wewe na maneno yako ya kukariri, eti Reputation power!!! hata wewe naona huelewi, z.u.z.u mkubwa we!
kwa tz tuliyonayo sasa kama sio kutafuta umaarufu basi SITTA ni miongoni mwa hazina chache zilizobaki
kinachotusumbua ni siasa chafu za kununuliwa.
 
Mzee Kipara, you are the one who needs the book more than anything to know who is Sitta! Sitta cannot be separated from RACHEL, he might be even worse bse he has been investing in people's mind and deceiving them by singing their song and dancing to their rythm! Once you know the true colours of him you will speak differently! take my word bro!

If Sita cannot be separated from RACHEL, then he would be supporting payment of 111 bilion, because he would be entitled to the share of the cake. Why dont you people just come outloud and say what is it that Sita has done that is so bad? And why dont you want him to oppose the the payment of 111 bilion? dont feed us with the crap that he stopped the richmond motion when he was the speaker, because we all know that what he did as tha speaker is far much better than any other speaker in the history of this country. And let me be clear, what I am supporting here is not sita, but I am opposing payment of 111 billion to thiefs who brought this mess in the first place, and who are going to use that money to buy the election so that they can go on messing this country.
 
Kibanda uko sahihi 100% kaka. tatizo letu watanzania ambslo limetufanya tufike hapa ni uoga na unafiki. hatuko taifa la watu wanaojitoa muhanga kupigania maslahi ya nchi.
Miaka mingi watanzania tunajua ccm ni wezi na wanatuharibia nchi lakini still
tuawachagua. viongozi wengi wa siasa wamekuwa wanafiki wakubwa wakiuma na kupuliza.
Unakuta wanatuhadaa wakipiga kelele dhidi ya ufisadi na maovu lakini wakiwa ndani ya chama cha mafisadi. waoga hawataki kuacha maisha ya anasa wanayoyaoegelea japokuwa dhamira zao zinawasuta. tukipiga kelele juu ya uongozi unaofisadi na kuangamiza taifa wao wanakula sahani moja na mafisadi hao na kuwasifia chama hicho kuwa ndiyo chama bora na uongozi wake ni bora kabisa. Hakuna kitu kilikuwa kinanisikitisha kama huu unafiki wa wale tunaowachagua kututetea. niliona mtanzania ni mtu mnafiki na muoga kupita kiasi. hebu nenda kenya uone wapambanaji wanaotoka magaribi mwa kenya ambao kwa hulka yao watajipambanua hata kama wananyimwa ulaji na serikali na hawa ndio wesimama kidete kuiweka Kenya kwenye mstari. mtu huwezi kutumikia mabwana wawili wanaopingana kwa wakati mmoja. ccm chama cha mafisadi eti uwe humo utetee hicho chama wakati huo huo upiganie ufisadi. Huo ni unafiki na ningekuwa mwanahabari ningemwandika Sita kuwa ni mnafiki.
Mtu ukiwa mpambanaji unaamua moja huu ujanja wa wanafiki kutaka kujifanya wanatumia mbinu ya Raila Odinga haifanyi kazi. Na ni tofauti sana make Raila aliingia KANU akiwa na principle zake na hakuziacha.
Mtu unataka makombo ya CCM Ukija kwetu wananchi unaghilibu eti unachukia ufisadi. Ama ni dhidi ya mafisadi au pamoja na mafisadi kwenye chama chao.
Sasa mtu akiandika huo unafiki unaotufanya CCM watuchezee kila cku watz eti kanunuliwa na mafisadi papa. Hapana watanzania tufike waandishi walio makini lazima watuonyeshe nani mpambanaji halisi na nani mpambanaji mnafiki anayeuma na kupuliza na hao ndio wanafiki wetu. haina maana kwamba ukiwaanika umenunuliwa na mafisadi papa ila ni kuwa huwapendi mafisadi papa na mafisadi wanafiki pia huwapendi. big up Kibanda.
 
Kibanda ni kibaraka wa mafisadi. Hakuna asiyejua kuwa Kibanda anatumiwa kama "attack dog" (mbwa wa mashambulizi) na Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge dhidi ya Samuel Sitta. Hicho kitabu ni dhahiri kuwa kimefadhiliwa na hao mafisadi ambao Kibanda anawatumikia. Ni upumbavu mtupu, anaendekeza njaa tu. Kibanda ni nani mpaka apambane na Sitta, si saizi yake. Anatumiwa tu kama mbwa kutokana na njaa zake
 
If Sita cannot be separated from RACHEL, then he would be supporting payment of 111 bilion, because he would be entitled to the share of the cake. Why dont you people just come outloud and say what is it that Sita has done that is so bad? And why dont you want him to oppose the the payment of 111 bilion? dont feed us with the crap that he stopped the richmond motion when he was the speaker, because we all know that what he did as tha speaker is far much better than any other speaker in the history of this country. And let me be clear, what I am supporting here is not sita, but I am opposing payment of 111 billion to thiefs who brought this mess in the first place, and who are going to use that money to buy the election so that they can go on messing this country.

Well said. Most of the so-called "Great Thinkers" in JF are so lame and so lazy that they just can't see the crystal clear difference between crap and BS and the truth. Samuel Sitta has repeatedly shown by his words and deeds that he is a very principled man, who will not take any crap from anybody. He has made it clear time and time again that he opposes corruption in government and he will continue to do so for as long as he may live. I have tremendous respect for Samuel Sitta. He is a man of courage, integrity and principle.

They say the only thing necessary for the triumph of evil is for a few good men to do nothing. Sitta has shown that he will not be silenced. He deserves our fullest support.
 
6 baba yako!ametukela vya kutosha wanaharakati anadiliki kufarakana na gazeti la mwanaharisi!kuita wapinzani wanafiki!wkt yeye ni moja wa watuhummiwa wa chama cha jamii!
 
....As for this Absalom Kibanda character, he is just a pawn. He has long been compromised by the forces of evil who have unleashed him along with other unethical journalists such as Saeed Kubenea of MwanaHalisi as their attack dogs against the courageous and highly respected Samuel Sitta. God is with those who choose the path of righteousness like Samuel Sitta.
 
Kibanda siku zote wala hafichi kuwa yeye anawatumikia mafisadi na Edward Lowassa ni bwana wake. Huyo Kubenea wa MwanaHalisi ndio amekuwa mnafiki siku zote kujidai eti anapambana na mafisadi kumbe kashafika bei na wamemnunua na yeye siku nyingi sana. Hawa ndio waandishi wa habari wanaostahili kuchomwa moto kama wale wa Rwanda waliosaidia kutokea mauaji ya kimbari mwaka 1994 nchini kwao.

Kibanda na Kubenea wameuza utu na roho zao kwa mafisadi kwa kupesa senti chache tu. Hawa ni watu hatari kama ukoma na wala hawaitakii mema kwa kujali maslahi yao binafsi.
 
Well said. Most of the so-called "Great Thinkers" in JF are so lame and so lazy that they just can't see the crystal clear difference between crap and BS and the truth. Samuel Sitta has repeatedly shown by his words and deeds that he is a very principled man, who will not take any crap from anybody. He has made it clear time and time again that he opposes corruption in government and he will continue to do so for as long as he may live. I have tremendous respect for Samuel Sitta. He is a man of courage, integrity and principle.

They say the only thing necessary for the triumph of evil is for a few good men to do nothing. Sitta has shown that he will not be silenced. He deserves our fullest support.

Ahsante kaka, Mungu atawalaani mafisadi wote na vibaraka wao kama Absalom Kibanda wa Tanzania Daima na Saeed Kubenea wa Mwanahalisi.
 
Ile thread ya "kubenea sorry umepata zero kabisa" iko wapi mbona imepotea ghafla?au mafisadi wameinunua nayo nini???
 
Sita ni mnafiki. Hafai.

Tunasherehekea miaka 50 ya uhuru mwezi ujao lakini inasikitisha kuona kuwa baadhi ya Watanzania, wengine wakiwa "Great Thinkers" wa humu JF, hawana uwezo wa kuwa na fikra huru. Wamelishwa fitna kuwa Samuel Sitta ni mnafiki basi wanaimba tu wimbo huo kama steji shoo wa Ngwasuma au Twanga Pepeta. Samuel Sitta ni jemedari, msema kweli na haogopi mtu hata wakimtishia maisha yake au kumfukuza kazi. Ndio maana kwenye TV juzi aliamua kusema ukweli juu ya kung'olewa kwake kama Spika na kwa Kubenea kununuliwa na mafisadi. Ameongea ukweli mtupu. Daima Samuel Sitta atasema ukweli bila unafiki wowote wa kuogopa watu na kuongea chini kwa chini kama wanasiasa wengi wa CCM walivyo.
 
kibanda.jpg


Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni mwenyekiti wa jukwaa la Wahariri nchini Bw Absolom Kibanda ametoa matamshi makali dhidi ya Samwel Sitta kwa kumwambia kuwa yeye (Sitta) si mpambanaji kama anavyojifanya lakini kali ya yote amemwambia kwasasa hana muda wa kupoteza kulumbana na Samwel Sitta bali yeye yuko hatua za mwisho kuandaa kitabu kitakachoeleza uovu wa Samwel Sitta ikiwa ni pamoja na kuhusika kwake na UFISADI WA KUTISHA NCHINI wakati akiwa spika wa Bunge la tisa.

Atuondolee ujinga wake! Mwanaume mzima (kama kweli ni mwanaume) kutumika kuwaosha wanaume wenzio! Huyu jamaa kapoteza maadili ya uandishi na kufanya ukanjanja wake anadhani kuna mtu atamsikiliza na porojo zake wakati yuko kwenye pay roll ya hawa mafala wake? Watanzania hakuna wasichokijua kuhusu viongozi wao. Tunga kitabu kikudodee!
 
Kibanda Twanga Kotekote. Sitta ni Mnafiki na Inaonekana na yeye ( Sitta) alinunuliwa ili Azime Mjadala wa Richmond na hata kipindi kile cha Mjadala Safari zake za Monduli zilikuwa nyingi
 
Unajua watu wanasahau kuwa hakuna siri ya watu wawili..............Kibanda yote mnayokuwa mnayapanga, wewe tu ndo unatunza siri lakini yule bwana mdogo hutoka na kwenda kumwambia demu wake pale IFM, na pia humwambia jamaa yake wa Vodacom Mlimani City. Ndo maaana haya akina yakhe hizo mbichi mbichi hutufikia. Kumbuka siku za nyuma uliwaumiza sana hao jamaa na kumbuka jinsi walivyokuandama, hakyanani hawajakusamehe, muulize Lamwai kwanini hajaambulia chochote, wazee walisema aliyuumiza sana siku za nyuma.

The enemy of your enemy is your friend, Sita sasa ni adui wa CCM wengi, hiyo moja kwa moja anakuwa rafiki wa CHADEMA wengi..................
 
Unajua watu wanasahau kuwa hakuna siri ya watu wawili..............Kibanda yote mnayokuwa mnayapanga, wewe tu ndo unatunza siri lakini yule bwana mdogo hutoka na kwenda kumwambia demu wake pale IFM, na pia humwambia jamaa yake wa Vodacom Mlimani City. Ndo maaana haya akina yakhe hizo mbichi mbichi hutufikia. Kumbuka siku za nyuma uliwaumiza sana hao jamaa na kumbuka jinsi walivyokuandama, hakyanani hawajakusamehe, muulize Lamwai kwanini hajaambulia chochote, wazee walisema aliyuumiza sana siku za nyuma.

The enemy of your enemy is your friend, Sita sasa ni adui wa CCM wengi, hiyo moja kwa moja anakuwa rafiki wa CHADEMA
wengi..................

Mi naipenda cdm, nachukia ufisadi kwa vitendo na mafisadi nawachukia, nawachukia mafisadipapa kama Rachael lakini pia nachukia watu wanafiki walio katika chama cha mafisadi huku wakituhadaa watanzania kuwa ni wapenda haki ili kujipatia umaarufu. Wanaogopa gharama ya kusaliti chama cha mafisadi ni waoga wanaokula damu za watanzania ili mradi wasichubuke kwa kukosa pesa za chama cha mafisadi. huo ndio unafiki tunaousema kwa kina sita, mwakyembe, ole sendeka na waoga wengine.
Huwezi kula kwa shetani halafu ibada unafanya kwenye madhabahu ya mungu. huo ndio unafiki unaoongelewa. haina maana kuwa ukiongelea huo unafiki wa mchana unapenda mafisadi papa kama Rachael. inaonekana hesabu za mafumbo shuleni zilikuwa matatizo kwa watu wanaopinga unafiki wa sita na hao waoga wengine.
Mtu kama si mnafiki unajitokeza wazi na kupinga maovu yote si yale tu unayodhani yatakupa umaarufu.
hapa tanzania kinachotakiwa sasa ni katiba mpya itakayoweza kuchanganua misingi ya maendeleo, taasisi za haki na uwajibikaji wa viongozi. huwezi kusikia wanafiki kama sita wenzake wanaongelea jambo hili muhimu kwa taifa kwa sababu wanaogopa kukata mkono unaowalisha kwa kunyonya damu ya watanzani. ikija suala dogo kama dowans watajitafutia umaarufu lakini mambo makubwa kama katiba wamefunga mdomo. huwezi kuchukua mboga kwa shetani na ugali kwa mungu. huo ndio unafiki. tunataka mtu ajitoe na awe tayari kwa lolote tujue kuwa yuko na wataka haki na mabadiliko kwa maisha ya watanzania lakini sio vilio vya kifaranga aliefunikwa na mabawa ya mama yake. huo ni uoga na unafiki.
 
twende mbele turudi nyuma, SITTA NI MNAFIKI!!!
1)Kwenye vikao vya bunge wakati akiwa spika, ni mara ngapi dr Slaa alikuwa akiomba kuzungumzi au kuomba ufanyike uchunguzi juu ya malipo yaliyofanywa kwenye kagoda, tangold, meremeta etc? je spika sitta alikuwa akimpa huo uhuru? mara ngapi alikuwa akimkatiza?je hapa sitta kama yeye mpambanaji kwa nini alikuwa akiwazuia wapinzani wasiseme maneno mengine ?
2)spika siita, kwenye bunge hili la bajeti mwezi julai 2011, amewaponda wapinzani kwa kuwaita wanafiki kwa sababu wamekataa kupokea posho, mimi nilitaraji angeunga mkono hoja hiyo ili posho zile zikasaidie kutatua matatizo ya wananchi
3)sitta, aliongoza bunge limfukuze zitto kabwe mwaka 2007 alipozungumzia mkataba wa buzwagi, mbona baadae ilikuja dhihirika kuwa wao sitta na ccm yake ndo wanafiki?
4)sitta, alienda kujenga ofisi ya spika jimboni kwake urambo, huo ni wizi!!!na ni matumizi mabaya ya pesa za umma!!! tangu lini ofisi ya spika ikajengwa jimboni????? kwani yeye angekuwa spika au mbunge milele?kwani mbunge atakaemrithi nae atakuwa spika???
5)sitta hana adabu, analalamika kuwa mafisadi wamemtoa kwenye uspika, so inamaana spika aliyewekwa amewekwa na mafisadi? hiyo ni kauli mbaya dhidi ya kiongozi wako, maana naamini spika ni kiongozi kwa sitta kwa sasa
6)sitta ana skendo nyingi zilizoandikwa mwaka 2008, kuhusu vimada wake, malipo hewa ya madawa, lugha za ubabe na dharau, na habari hizo ziliandikwa na tanzania daima mwaka 2008, so hawa daima wamenunuliwa leo au wamenunuliwa toka 2008?kama wamenunuliwa toka kipindi hicho, hivi freeman mbowe(mmiliki wa tanzania daima/mwenyekiti CHADEMA) anawezaje kukaa na mhariri aliyenunuliwa miaka yote hiyo?basi kama mbowe anamlea halikadhalika MBOWE NAYE KANUNULIWA!!!!!
7)Kila siku mimi hujiuliza, iweje hawa watu waiponde CCM ilhali wamo humohumo? kwa nini wasitoke kama hawaridhishwi na mwenendo wake?bila shaka hawatoki kwa sababu na wao wanafaidika na serikali hii ya CCM!!sasa kubaki humo huo ni undumilakuwili na unafiki wa hali ya juu!
8)unafiki wake mwingine ni kukanusha kwake kujiunga au kuanzisha CCJ, aliyetoa madai ni fred mpendazoe, mbona hampingi mpendazoe badala yake ana wakimbilia daima walioripoti? tatizo wana-sihasa wetu wanapenda kuandikwa in a positive way, wakiandikwa mabaya yao wanakurupuka wanasingizia umetumwa!! hivi kila mtu katumwa basi sasa!

lakini ukweli na yaliyo moyoni watu wanayajua wenyewe, maana sie twafanya kusikia hayo maugomvi yote ni hasira na chuki za kukosa vyeo na dili tu wala hakuna jingine, watu walitaraji wangekuwa mawaziri wakuu 2005 wakatoswa basi wakaanza chuki , haya wengine walikuja na dili yao ya umeme wa upepo huko singida, ilipokosa dili, wakateuana wakaja kwenye richmond kumalizia hasira!!

tanzanoia zaidi ya uijuavyo! wanafiki wamejaa kila kona na watu wamejificha kwa ngozi za kondoo kumbe ni mambwa mwitu makubwa!
 
Ahsante kaka, Mungu atawalaani mafisadi wote na vibaraka wao kama Absalom Kibanda wa Tanzania Daima na Saeed Kubenea wa Mwanahalisi.

Dogo mbona unadhalilisha jina la Sokoine kutetea watu wanafiki?! Unalipwa kitu gani? Baada ya vurugu zote zinazoendelea CCM ambazo mwanzilishi ni Sitta,nilikumbuka maneno ya muasisi mmoja wa Tanu ambaye ni marehemu,aliniambia mkoa wa Tabora unaongoza ktk Tanzania kwa wanasiasa wenye fitina na majungu,akasema ndiyo maana ni mkoa uliyo nyuma sana kimaendeleo na Mwalimu Nyerere baada ya kuchoka fitina za wanasiasa wa Tabora aliamua kuwapiga chini vinara wote wa siasa toka Tabora.
 
Back
Top Bottom