Abraham mwanyamaki ndiye tishio kwa ccm kyela hakika safari ya uhakika kyela chini ya ukawa.

mwamajinja mapunga

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
1,074
607
Habari wadau, bila kuficha kinachoendelea katika wilaya ya kyela ni ishara tosha kuwa wananchi walishachoshwa na ahadi hewa za mbunge wao Dr. Harrison Mwakyembe kwa ulaghai wake umesababisha wananchi kuamua na kufanya maamuzi mazito haswaaaa.. na hii imejidhihirisha katika kura za maoni zilizofanyika juzi maeneo ya Kasumulu Kyela ambapo ndg Abraham Hebel Mwanyamaki juzi aliibuka kidedea kwa kuwashinda watu watia nia wengine alioambatana nao kwa kura 322 huku akimuacha mbali sana aliyefuata bwana Alinanuswe Mwalwange akiwa na kura 65 wengine ni kamaMWAIPOPO AU GOGODO KURA 9 . Hiii imejidhihirisha wazi kuwa MWANYAMAKI KYELA NI MOTO WA KUFA SHETANI YAAN CCM MWISHO MWAKA huu Kyela. licha ya hayo Mwanyamaki ni mtu mwenye busara anayejua kusikiliza watu, asiye na mkuu akiwashukuru wanakyela aliyasema machache namnukuu "Naashukuru wananchi wa kyela kwa kunichagua, ushindi huu si wa Mwanyamaki pekee, si wa CHADEMA PEKEE NI wa WANAKYELA WOTE, pia kama kulikuwa na makundi tuyavunje tujenge chama na kyela yetu asanteni sana" makofi waaaa CHADEMA IMECHACHAMA CHAAA!!!! CHADEMA IMECHACHAMA CHAAAA !!!!! PEOPLESSSSSSSSS!!!!
 
Umekosea kidogo mkuu kumhusishs mwakyembe ... Haujaonesha ishara ya yeye kuchookwa..ila nimekueleewa ... Endeleeni kua na ham hiyohiyo ya kuleta mapinduzi kwa kuleta kilicho bora zaid
 
Umekosea kidogo mkuu kumhusishs mwakyembe ... Haujaonesha ishara ya yeye kuchookwa..ila nimekueleewa ... Endeleeni kua na ham hiyohiyo ya kuleta mapinduzi kwa kuleta kilicho bora zaid
mwakyembe ameshindwa kuleta kiwanda cha kisasa cha kukoboa mpunga na soko la mpunga la marekani kama alivyoropoka kwenye ahadi zake , ameshindwa kuleta kiwanda cha kusindika cocoa kama alivyoropoka , ameshindwa kuondoa maji ya kichocho kama alivyoropoka , ukiacha suti anazovaa ambazo zinang'aa , ameshindwa kila kitu alichoropoka mwenyewe , sasa mtu kama huyu tumfanyeje zaidi ya kupiga chini ?
 
Back
Top Bottom