TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

Nakubaliana na wewe. Kuna kila sababu kwa marehemu kwa kufuata sheria za dini ya kiislamu kusitiriwa na walio hai. Si amini Kama angekubali picha ninayoiona au namna alivyo ionekane/aonekane.
Wakati mwingine sio kusengenya marehemu.Huwa inakuwa kuelimishana na kuwa wawazi zaidi.Inabidi tufike mahali watz tubadilike...tusiwe wanafiki.kama mtu amefariki na chanzo ni UK basi isemwe wazi.Naamini kwa kuiona hiyo picha kuna watu wengi tu wamebadili tabia zao na watanusurika na janga...
 
DSC06663.JPG

Mwili wa marehemu, Mr Ebbo ukiwa katika jeneza tayari kwa kwenda kuzikwa katika nyumba yake ya milele.
Mke wa marehemu akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuuaga mwili wa mumewe. Wazazi wa marehemu kutoka kulia ni baba yake na mama yake.
 
Poleni sana familia ya Mr Ebo!

Lema ni nani katika familia ya Mr Ebo, mpaka kupanga mazishi hayo!

Huu msiba una uhusiano gani na wanaharakati wa Chadema!

Mbona mnataka kupora msiba wa watu?

Lema ni mbunge wa Arusha. Anamzika mpiga kura wake, ebo!
 
duuuh leo ntalala kwa shida sana
nimeogopa na ntazidi kuogopa
laaaaah jamani kwanini alikataa dawa
my god

im taking two steps behind
this is scary and 4 sure is not a joke
lets learn from this

may god rest his soul in peace

amen

[h=3]TAARIFA KUTOKA FAMILIA YA MAREHEMU ABEL MOTIKA (MR EBO).[/h]

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu kutoka familia ya aliyekuwa msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva Abel Motika almaarufu kwa jina la kisanii MR EBO, Kaka yake Mr Ebo amesema mdogo wake amefariki kwa ugonjwa wa kansa ya Damu na mazishi ya msanii huyo yatakuwa siku ya Jumatatu saa saba katika Mkoa wa Arusha.

Msanii huyo alifariki jana akiwa Arusha kutokana na kuugua ugonjwa huo ambao waliugundua mwezi wa tano mwaka huu, kwa mujibu wa taarifa ya kaka ake na kujaribu matibabu katika hospitali mbali mbali bila mafanikio na kuamua kwenda kujaribu na Dawa za asili mpaka mauti yalipomkuta .
.
 
Mr Ebo ulichanua kama UA na kuzimika kama mshumaa. hakika ulituburudisha wengi na hatutakusahau. kungekuwa na RUFANI ya kifo wengi tukaikata kwa ajili yako. Mungu akupunzishe milele huko kwetu Nyumbani PAZURI pasipo na Malaria wala Mbu. Hapa wote tu wasafiri tunapita tuuu.
 
....Mi mmasai bana nasema mi mmasai..ni kitu najifunia masi fahari yangu,nadumishe
mila ila wengine ilishashindwa tamaduni yenye ngufu iliobaki
afirika....
Salidarama jua inachoma kama pasi,kama hapana oga hawezi pata
singizi, salidarama hata kama ni maji nauzwa..
Gari ina derefa naongozwa na
mataa ile taa najua saidi kuliko dereva...
Kama we iko kosa nakua ya
jinai,jinai mtu ya wapi kila kosa hakatai....nasingiziwa sana au ni rushwa
atoi,nachafuliwa jina na jela hapelekwi...
Na hapa sadarama ni wapi naitwa
bize ukitafuta mtu naambiwa iko bize huko bize ni wapi mbona mimi bado fika
nasikia bize tu na mwaka nakatika..
Temeke ilala magomeni na
michokeni...ostisabei mwenge pamoja kinondonyi pia kuna sinza manzese na
bugurunyi naweza kupotea kama nakosa ramani....
Mia
 
Jamaa alikuwa mbunifu sana. Sio hawa masharobaro
 
Back
Top Bottom