Sita Sita JF-Expert Member Aug 25, 2008 1,393 511 Dec 2, 2011 #101 R.I.P. Mr Ebbo Am always ur No. 1 Fan Napenda sana ile track ya Maneno Mbof Mbof
Yummy JF-Expert Member Sep 26, 2011 1,796 1,336 Dec 2, 2011 #104 Poleni sana wafiwa, Mwenyezi Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa na bwana ametwaa.....RIP Mr E.
Poleni sana wafiwa, Mwenyezi Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa na bwana ametwaa.....RIP Mr E.
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Dec 2, 2011 #105 Oh,me mmasai bhana,nasema mi mmasai!
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,446 Dec 2, 2011 #108 Mchaka Mchakani said: source radio one breaking news! Click to expand... Chanzo ni kuugua kwa muda mrefu amefia Arusha nyumbani kwake
Mchaka Mchakani said: source radio one breaking news! Click to expand... Chanzo ni kuugua kwa muda mrefu amefia Arusha nyumbani kwake
Idimi JF-Expert Member Mar 18, 2007 14,976 10,466 Dec 2, 2011 #109 Sita Sita said: R.I.P. Mr Ebbo Am always ur No. 1 Fan Napenda sana ile track ya Maneno Mbof Mbof Click to expand... Albamu nzima ya 'Fahari Yako' yenye wimbo huo ni kati ya albau bora kabisa za huyu legend. Haiwezi kuchuja. Alikuwa hajaanza kuimba katuni bado.
Sita Sita said: R.I.P. Mr Ebbo Am always ur No. 1 Fan Napenda sana ile track ya Maneno Mbof Mbof Click to expand... Albamu nzima ya 'Fahari Yako' yenye wimbo huo ni kati ya albau bora kabisa za huyu legend. Haiwezi kuchuja. Alikuwa hajaanza kuimba katuni bado.
K kula kwa tindo JF-Expert Member Nov 14, 2011 1,330 323 Dec 2, 2011 #110 Mwanamuziki nguli wa Bongo fleva mr EBO AMEFARIKI DUNIA usikuwa kuamkia leo..
L Ludewa JF-Expert Member Mar 9, 2009 215 37 Dec 2, 2011 #111 mungu ailaze roho yake mahali pema peponi......amen!
mkale JF-Expert Member Sep 21, 2011 1,587 1,693 Dec 2, 2011 #114 Dah!.. camini aisee, jamaa ha2nae tena. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi, Amin.
F FJM JF-Expert Member Apr 11, 2011 8,081 6,198 Dec 2, 2011 #115 Gone but will never be forgotten. Your music will forever be with us! RIP Mr Ebbo!
Mwita25 JF-Expert Member Apr 15, 2011 3,831 1,164 Dec 2, 2011 #116 Katavi said: Umeambiwa radio one! Click to expand... Sawa ni Radio One lakini Source ya habari ni nini?
Katavi said: Umeambiwa radio one! Click to expand... Sawa ni Radio One lakini Source ya habari ni nini?
B barnabie Member Jul 13, 2011 44 6 Dec 2, 2011 #118 Kweli inacktisha sana kumpoteza mtu kama huyu hivyo inatupasa watu wote kutambua dunia ni njia 2napita na hatuna budi kumrudia mwenyezi MUNGU.
Kweli inacktisha sana kumpoteza mtu kama huyu hivyo inatupasa watu wote kutambua dunia ni njia 2napita na hatuna budi kumrudia mwenyezi MUNGU.
ntamaholo JF-Expert Member Aug 30, 2011 12,906 6,909 Dec 2, 2011 #119 Mwita25 said: Source?????? Click to expand... umesha ambiwa radio one, mbona hueleweki wewe? au unataka kufahamu chanzo cha kifo chake? funguka kuwa wazi. Mtujulishe pia kaondokaje ondokaje
Mwita25 said: Source?????? Click to expand... umesha ambiwa radio one, mbona hueleweki wewe? au unataka kufahamu chanzo cha kifo chake? funguka kuwa wazi. Mtujulishe pia kaondokaje ondokaje
Mwita25 JF-Expert Member Apr 15, 2011 3,831 1,164 Dec 2, 2011 #120 Naona amekufa siku moja baada ya kusherehekea siku ya ugonjwa uliomuua!