Abdu Kiba ampa mimba mwanafunzi wa miaka 19 na kumtelekeza

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Abdu Kiba anashtumiwa kumpa mimba mwanafunzi, mwanafunzi huyo anadai walikutana Instagram, kisha akampa namba yake ya simu wakawa wanachat WhatsApp ndipo walipoendelea kuwasiliana hadi kukutana na kuja kufanya mapenzi na sasa hivi amemruka
 
Huyu sio mtoto hata mara bonge la nyau mara abdukiba kaaa ngoja tu hiyo mimba imtulize
 
Hawa mabinti wanapenda sana shobo kwa wasanii sasa wanapata ujauzito wanaanza kulialia kwenye media atulie tu kwao wazazi wake wamuhudumie ajifungue ajitunziye huyo mtoto wake!
 
Issue sio kuwa mtu mzima au kushobokea mastaa. Ukimtia mimba msichana kutoa huduma Ni muhimu. Naona watu wengi hapa wanajitoa ufahamu Tu.
 
Hawa mabinti wanapenda sana shobo kwa wasanii sasa wanapata ujauzito wanaanza kulialia kwenye media atulie tu kwao wazazi wake wamuhudumie ajifungue ajitunziye huyo mtoto wake!
Mkuu usiseme hivyo. Kama Kiba ametia mimba ebu asikimbie majukumu. Ajitunzie mtoto wake kwani hiyo mimba amejipa mwenyewe?
 
Back
Top Bottom