Tafuta maandishi ya marehemu Capt Eugene Maganga aliyekuwa mshiriki mmojawapo wa jaribio hilo. Aliandika series za makala kwenye magazeti akitoa details za yote aliyokumbuka kuanzia kupanga, kutekeleza na kufeli mapinduzi yale hadi alipokamatwa kushtakiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha. Aliachiwa kwa msamaha wa rais mstaafu Mwinyi mwaka 1995.
asetuba yanapatikana wapi maandishi ya capt Eugene, maana mara ya mwisho niliyaona kwenye rai.