Abas Byabusha Pongezi Mwenyekiti wetu Chadema Marekani nzima!

dmvuno

Member
May 27, 2012
93
20
Tunapenda kumpongeza Mh. Abas Byabusha kwa kupata nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Marekani nzima. Mh. Byabusha pia ni Banker amekuwa mstri wa mbele katika kuijenga Chadema Marekani. Hongera sana kaka yetu tupo nawe pamoja Amen. Byabusha.jpg Karibu kwetu PA
 
Tunapenda kumpongeza Mh. Abas Byabusha kwa kupata nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Marekani nzima. Mh. Byabusha pia ni Banker amekuwa mstri wa mbele katika kuijenga Chadema Marekani. Hongera sana kaka yetu tupo nawe pamoja Amen.View attachment 57941Karibu kwetu PA
hiyo ndio ilikuwa siku yake harusi kwa wale ambao hamjafahamu vizuri
 
Back
Top Bottom