Abarikiwe aliyetoa wazo la kuanzisha JF

sanaaa tuu!..yakwangu niliyojifunza ni makubwa zaidi...
 
Asante sana mkuu. Ni mimi na maxence melo ndio tulikuja na hili wazo baada ya kuona watanzania wanahitaji sehemu ya kutoa mawazo yao bila woga.

Jiskie upo nyumbani na karib sana
 
Jf si mchezo,yaani nafarijika sana kuchat na watu nsiowajua! Hata hvyo its fine ipo cku tutajuana tu mbele kwa mbele,lkn naomba kama kuna wanjf wa Shy-town tujulishane hapa!
 
Kitambo sana
Jf ya enzi hizooo ilikuwa fireeeee

Siku hizi dah..ndio maana wengi waliochangia huu uzi hawapo humu jf

Either wameona utoto umezidi,au majukumu,afya na wengine labda hatukonao duniani(rip)
 
Back
Top Bottom