Eva na anna walisoma o-level darsa 1.baadae wakapotezan kwa miaka10.walipokutana tena Eva alikuwa mfanyakaz na pia alikuwa na duka.Anna hakuwa na kazi yoyote bal alikuwa kapangishiwa nyumba na mme wamtu.Haikuchukua muda Anna akagonganisha mabwana na hatimaye akafukuzwa na mme wamtu huyo,aliambulia nguo tu kwan alinyang'anywa kila kitu.Eva alimpokea,wakaish kwa miez4 sasa.tabia ya Anna imebadilika mpk anapeleleka mabwana tofautx2 nyumban kwa Eva,akiwa hayupo.Eva anauliza aanzeje kumfukuza anamkera kwa tabia
https://www.jamiiforums.com/newthread.php?do=newthread&f=62
Karibu na kila la kheriasante kwa ushauri Edo. . .
Kiukweli itakuwa ngumu sana kukwambia nenda kamuambie Eva amwambie maneno haya Anna..
Ila all in all uvumilivu una mwisho..atafute maneno yeyote but Anna must go..she doesn't deserve that respect!!
Just makavu live style....
asante kwa ushauri, ila isue ya kumpa kodi ya 6month ni ngumu. kumbuka kwa miezi 4 yote Anna ameishi kwa Eva bila kuchangia hta hela ya chumvi. it means ameshasave vya kutosha kuanza maisha!