Aaah Jk,! Teh teh teh

Jamani huyu jamaa mkwere mi namshangaa..ni tabia ya mjinga kujichekesha chekesha wakati nchi inaomboleza na dhiki...huyu jamaa ni king'ang'anizi,ile mwaka 95 mwl alijua alikuwa hafai,akatumia kigezo cha ukomavu kisiasa,kumbe alimaanisha ni bogus..sasa watz hatukusoma maneno yale,au pengine ni kwa sababu tumekuwa tukichaguliwa na ccm......Sikupendi kikwete..hukustahili kuiongoza tz..rais gani asiye na mamlaka?asiyechukua hatua?kacheze ngoma na vimwana..ndicho uwezacho!
Huna haja ya kumtukana... usiwe kama UVCCM
 
Huna haja ya kumtukana... usiwe kama UVCCM

yeye kama yeye sina shida naye,bali tabia yake ndani ya joho la urais...Misingi ya hoja yangu ni hii,huyu bwana anawezaje kutumia urais kugawa rasilimali,pesa, ambavyo ni stahili kwa wananchi wote kwa marafiki zake,? Nani asiyejua mafungamano ya Kikwete na RA? Nani asiyejua mafungamano ya Dowans na Richmond? Nani asiyejua kuwa richmond ni RA,and hence dowans? Nadharia inaonesha ukikaa na wevi,nawe pia ni mwivi,au unapenda wizi! Nakuhakikishia,ikijatokea nafasi kwenda ku-prove hii theory ya ufisadi =Ra=dowans=kikwete, mi naweza kujitokea..
 
He can neither LEAD nor RULE effectively.....mwaka 1995 alikuwa 45 yrs....kama hakukomaa muda huo kwa mujibu wa Nyerere basi sio material ya urais...BTW Mwalimu alikuwa Rais akiwa 38 yrs
 
Si mnajua kuwa huyu mtu ana kifafa, na ugonjwa wa kifafa huathiri mfumo mzima wa ubongo, hivyo tumchukulie hivyo hivyo, lile tusi Tambwe Hizza alilomtukana Dr. Slaa lina m-fit JK.
 
He can neither LEAD nor RULE effectively.....mwaka 1995 alikuwa 45 yrs....kama hakukomaa muda huo kwa mujibu wa Nyerere basi sio material ya urais...BTW Mwalimu alikuwa Rais akiwa 38 yrs

Umenena vema mkuu..huyu jamaa ukitaka kujua kwanini Mwl na viongozi makini wa wakati,angalia,walimchezesha kwenye CCM WILAYA ,MKOA,WILAYA MKOA, huko ndo ilikuwa size yake..au siyo?
 
Si mnajua kuwa huyu mtu ana kifafa, na ugonjwa wa kifafa huathiri mfumo mzima wa ubongo, hivyo tumchukulie hivyo hivyo, lile tusi Tambwe Hizza alilomtukana Dr. Slaa lina m-fit JK.

Mkuu huyu bwana angeifaa nafasi ya tambe hiza,kupiga vijembe
 
Tbc1 i think ile mbiu yao ya ukeli na uwazi si ya kweli..........huwa wanachakachua habari
yaani mkwere aboa sana tu.......

Jamani suluhu hapa nikama tunisia........nimaandamano ya kitaifa tu
 
Hawa jamaa walitumia fedha za Hazina katika kampeni... matarajio yao wangeweza ku-refund hiyo pesa kutoka kwa wafadhili kwenye ile overstated budget iliyopelekwa kwa wafadhili ili iweze kufidia gharama zile.

Tatizo linakuja WaFADHILI wamestuka na kimtazamo HAWATALIPA ile fedha iliyozidi.

So inabidi hawa jamaa wa-frce ili waweze kupata hela kukaver mashimo ya bajesti kwa zile hela zilizotumika kutoka hazina kwa ajili ya kampeni.Wakishindwa bajeti itayumba.

Tusitegemee hiyo hela wanalipwa dowans NO!!! ni ku-debit hazina (fedha hewa) na ku-credit dowans (fedha hewa) alafu fedha zilezile zinabaki hazina ili kufukia mashimo. KIFUPI FEDHA HIYO ILISHATUMIKA.

Na hata kama tukifanikiwa kugoma kulipa (kutokana na shinikizo la umma) huko mbele budget lazima itayumba, au gharama zabidhaa kuongezeka.

Wamekuwa na miradi mingi ili kupata fedha hizo.. miradi mingine WATANZANIA hatuijui gharama zake ila wakitangaza tunachekelea kwa furaha lakini ukweli jamaa wamepiga hela.

Mradi wa noti mpya... subiri uongozi ukitoka tutaona mahakamani wakina Deogratius kweka , mama komu, Amatus Lyumba wengine kutokana na mradi huu.
 
Back
Top Bottom