Aaah!...Inauma Sana Hii!!!

inauma sana kudhan unapanda kumbe unavunwa
Inaumwa sana kudhan unapendwa kumbe unachunwa
Inauma sana we unapotoa ela mwingine anapewa bure
Inauma sana..........
 
Ukifikia hapo mwanangu Majigo jionee huruma. Hata nami nakuonea huruma kama umefika hapo. Ukweli ni kwamba unaweza kujinasua bado hasa ukizingatia kuwa huyo siyo pekee duniani. Vinginevyo kama unatafuta aondoe roho yako endelea na mapenzi hayo ya ajabu na kipumbavu.

dah!
Kweli Watu Tuko Tofauti!
 
Inauma sanasanasana! NASEMA inpain kichizi watu wanapigia kura sisiem usawa wa mwaka 2012 ambao ni 51 years baada ya uhuru, hawajafanza lolote na they won't. Inaniuma sana kwa kata tulizopoteza jana! Una akili kweli kuipigia sisiem kura? INANIUMA....
 
Inauma sana pale unaponyang'anywa tonge mdomoni................................,.inauma sana pale umpendaye anapokufungia vioo...inauma sana....

Huna Haki Ya Kuumia Mwayah!
Hakukuhusu Yule!!
Lol!
 
Inauma sanasanasana! NASEMA inpain kichizi watu wanapigia kura sisiem usawa wa mwaka 2012 ambao ni 51 years baada ya uhuru, hawajafanza lolote na they won't. Inaniuma sana kwa kata tulizopoteza jana! Una akili kweli kuipigia sisiem kura? INANIUMA....

Inauma Sanaaaa...!
Mtu Kuandamana Na Na Kulipuliwa Wakat Waanzilishi Wa Maandamano Wako Kwao Na Fimilia Zao!
Wewe Hata Pesa Ya Mboga Nyumbani Hujaacha!
 
Inaniuma sanaaaa mwanaume nampenda ila inabidi nimcharge hela ya matuzo for insurance n depreciation of kidude

Inaniuma sanaaa napojituma kukatika na kubinuka mwisho wa game napewa misifa mitupu bila misimbazi kuongezeka

Inaniuma sanaaa kumachaji mtu kwa K ila usipomchaji anakuona sooo cheap na kutaka kama dozi, cha bure pokea tuu.

Inaniuma snaaaa kuona MKE Bombaaa mwenye adabu zake afu mumewe kutwa kunifukuzia, nikimpita yule mke haachi kunisalimu, "hujambo binti yangu mzuri? Ufike salama uendako!"

Inaniumaaa sana kula pesa ya mtu ilahali najua simpi kitu!!!!! Nisipopokea ndo balaa maana anaweza kunywa sumu, manake yeye nimemkataa na pesa yake pia!!!!!!
 
hahahahah yatoe shosti usafishe kifua mabint mna kazi lol
 
Hahahahah!
Machungu Yako Ni Hatare!
Eti "Ninapojituma Kukatika Na Kubinuka!!?"
Mweh!!
 
Ni sehemu ya kukua kijana. The more you grow up the less the pain. Inakuwa poa tu,lol
 
Inauma sana unapojitahidi kufanya kazi kwa kadiri ya uwezo wako kwa manufaa ya ofisi/kampuni/nchi yako lakini hupati support toka kwa boss wako
 
Hahahahahah
hapa lazima uhisi una ............................

inauma sana pale unapo kwenda kuchukua jibu kwa demu uliye mfukuzia siku nyngi, akakuzungusha na siku aliyokuahidi ukachuke jibu unakuta wametenga msiba kwako ukiuliza unaambiwa demu kafariki ghafla..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom